Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
-
- #161
Dar inamaeneo mengi yenye udongo wa mfinyanzi na pia kuna mashine maalum za kuchomea tofali sio lazma kuniTofali za kuchoma ni adimu sana Dar es Salaam hasa kutokana na urahisi wa kupata malighafi za tofali za saruji (mchanga na saruji). Udongo unaofaa kwa uchomaji unapatikana mbali, na mchakato unahitaji kuni nyingi za kuchomea jambo linaloongeza gharama na uharibifu wa mazingira.
Not durableLabor intensive,time consuming.
Assumptions.Not durable
Waambie hao waelewehakuna miti yakuchoma tofali iive pia udongo haufai
Nafikiri watu muhimu wakuongee ukweli ni wakandarasi sisi wengine wote tunaongea kwa mitazamo yetuAssumptions.
Unaongea bila kufikilia sasa hapa dar pumba utapata wap hapa unakuja mchele sio mpunga halaf eneo lakuchimba hayo mashimo yatofali utayapata wappumba za mpunga mbona zinatosha kuchoma tofali zikaiva. Na huko mikoani maeneo wanayolima mpunga ndo hutumia. Au huko dasalamu na pumba hakuna pia?
Ugumu nafikiri upo kwenye sources za kuchomea ila maeneo yapo tembelea kule mvuti location zimekaa kama villageUnaongea bila kufikilia sasa hapa dar pumba utapata wap hapa unakuja mchele sio mpunga halaf eneo lakuchimba hayo mashimo yatofali utayapata wap
Kumbe kuna tofauti ya bricks na blocksLa hasha tofali za kuchoma sio za kimasikini ,ni uelewa mdogo tu wa wabongo.Kibongo bongo inaonekana ni cheap kutumia hizo tofali ,lakini kiukweli hawafuati utalaamu sahihi wa kujenga hizo tofali na ndio maana majengo yanayojengwa na wabongo kwa kutumia bricks hayawezi kudumu kulinganisha na majengo ya bricks ya wazungu.
Mbongo anajenga bricks kama anavyojenga blocks wakati kikawaida bricks ni nyembamba kuliko blocks.Kitalaamu ukuta wa bricks unatakiwa uwe na line mbili ya bricks au bricks zijengwe kwenye mfumo wa header bond yaani ubavuni wa ukuta uwe unaona kichwa cha tofali na sio ubavu wa tofali.
Yes.Bricks zinazotakana na kuchomwa kwa udongo mfinyanzi.Blocks zinatokana na cement,mchanga,kokoto,Got
Kumbe kuna tofauti ya bricks na blocks
Braza sura yako huwa inanitishaZipo Intelocking.
Sura ya kazi.Braza sura yako huwa inanitisha
Nakubali mwambaSura ya kazi.
D.S Hotel ya Japipo Makambako ni ya ghorofa na imejengewa tofali za kuchoma.Got it , ila tofali za kuchoma hauwezi kujengea ghorofa