Watu wanakodisha bunduki wanapata pesaSijajua watu wanafukua wapi hela, Kila cku huku dar Nakutana Na land cruiser v8 zenye condition nzuri tena Gari binafsi zenye Plate number d, najiuliza na hii mishahara midogo ya taasisi za kibongo ya laki 8 kwa mwezi, watu wanawezaje miliki Na ku-maintain gari ya Tshs million 80 - million 200 plus?
Anaenunua Toyota v8 kwenye account atakua na tsh ngapi? Ina maana hapa bongo Watu wengi kiasi ni matajiri?
Kuna mzungu mmoja alikuja bongo field ,alipofika akaanza kuzunguka mikoa mbali mbali na kujionea jinsi majumba na mahekalu yamejengwa hio haikua ajabu ila ajabu ni Kwamba kumbe hayo majumba na mahekalu ni ya watu binafsi na akaambiwa asilimia kubwa ya hizo nyumba Watu wanajenga Kwa Pesa zao,akashangaa Sana kumbe walivyokua wanaambiwa Afrika maskini akajua watu Bado wanaishi Kwenye huts house kumbe sivyo bwana,
Sasa akauliza viongozi wetu kwanini hua wanaenda kulia Lia misaada kule na wanapewa na maajabu wanakuja kuitumbua Kwa Raha zao huku?
Akajibiwa nature ya mwafrika ni omba omba!
True Siri ya utajiri ipo kwenye madini pesa za chap na uhakika zipo ardhini kwenye madini. Ukiyajua kuchimba milioni 300, 500 ni sawa na buku. Huyu jamaa ashangai vijana tena wadogo wanaingiza basi 6 kwa mpigo.Kilimo
Madini
Uvuvi
Nishati
Usafirishaji
N.k
Ila kubwa kuliko yote NI madini na ufisadi(michongo)
Mawazo ya kimaskini haya achana nayoBiashara haramu zmierudi kwa spidi ya ajabu ukifuatilia sana utakuta kuna dili chafu wanafanya, wapigaji wamerudi kwa kasi ya ajabu awamu hii…
Mkuu, baada ya miaka 5 na mimi ntavuta huyu mnyama ndio roho yangu itulie, View attachment 2051678