Sehemu rahisi kupiga pesa ya halali na ukawa tajiri ni kwenye
1.Madini
2.Recycling, kusaga taka za plastic na kuuza nje ya nchi.
3.Export, yaani kucheza na soko la India, China na Kenya kujua wanataka nini. India na China population zao ni kubwa sana na wanahitaji Sana vitu vingi toka TANZANIA uwe mtundu tu wa kusaka taarifa kwenye mitandao.
Wakenya wanaitumia Sana fursa hio kupitia TANZANIA Shamba la bibi wanakuja wananunua Tza wanaexport, mfano maparachichi, matunda,madini nk.
4.Ukiagiza nje mashine za kuzalisha vifaa vya ujenzi mbadala wa cement, nondo na bati utapata pesa nyingi Sana nchini kwa kutumia raw materials zinazopatikana nchini bure utauza bei mudu kwa wengi maana vifaa vya ujenzi bei hazishikiki kwa sasa, mtajenga kwa pension na sio kwa mishahara tena. Zipo technology nyingi na rahisi sana za ujenzi wa nyumba bora za kisasa pasipotumia cement, nondo wala bati na nyumba ikadumu zaidi ya miaka 200 kwa ubora ulele kwa gharama nusu ya ujenzi wa kutumia cement, nondo na bati.