Kwanini Dar es Salaam magari binafsi aina ya Landcruiser V8 yako mengi sana?

Kwanini Dar es Salaam magari binafsi aina ya Landcruiser V8 yako mengi sana?

Hahahahah unataka kumvuta “KAKADU” mjini [emoji28] wakati huo kutakuwa kuna kitu kinaitwa Toyota Bz4 hio itakuwa ni ndoto ya watu wengi maana ni kama Tesla kutoka Toyota.

Watakwenda Fully electric na wamejipanga mpaka kufikia 2030 waache production ya ICE cars! Zitakuwepo zile hydrogen cars ila kwa sie wa soko la mtumba tutaendelea kumenya tu gari zilizope scrape yard za Japan.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahah mzungu alicheleweshwa sana huyo😅!

Huku watu wanajenga majengo mpaka ya billion 3 kwa pesa zao binafsi hawaombi hata sh.100 kwa mtu! Kuna watu ni mafogo yani sema wako Low Key kichizi hutakaa ujue yani.

Ambao ni maskini ni kundi kubwa ila liko maeneo ya vijijini sio rahisi kwa wao kusikika maana wanakuwa covered na wenye kipato cha kati na cha juu. Mijini humu asilimia kubwa watu wana Mawe😅
hahaha Ili upime Kwamba wabongo Wana Hela wewe utaona wanavyolalamika Hali mbaya ila huwezi kuona wamelala njaa,au watoto zao wamekonda Kwa utapia mlo,hawana mavazi nk
Yaani Ili ujue wabongo jau nenda uswazi wanaishi Kwenye slums ila matumizi wanayotumia ni ghali Sana imagine kina mwajuma Kila siku hawakosi shughuli na Hela ya vijora ipo na party ya uswazi Ina menu grade one vyuku na pilau Hapo makreti ya Bia kama 5 hivi,
Sasa hua najiuliza wabongo wanapata wapi pesa za anasa?
Jibu ni Kwamba ni wapambanaji na pesa ipo ila uswahili tu!
 
Hayo matatizo ni prado zile za zamani, zile prado mchaga!

Ila hizi ni za sasa ni balaa
Hajawahi kuipanda hata ile TRJ120 tu! Wanaita Prado Diamond ile... Apple lake sio mchezo iko very comfortable yani. Hii KAKADU na maboresho yaliofanyika itakuwa bora zaidi pasi na shaka.
 
hahaha Ili upime Kwamba wabongo Wana Hela wewe utaona wanavyolalamika Hali mbaya ila huwezi kuona wamelala njaa,au watoto zao wamekonda Kwa utapia mlo,hawana mavazi nk
Yaani Ili ujue wabongo jau nenda uswazi wanaishi Kwenye slums ila matumizi wanayotumia ni ghali Sana imagine kina mwajuma Kila siku hawakosi shughuli na Hela ya vijora ipo na party ya uswazi Ina menu grade one vyuku na pilau Hapo makreti ya Bia kama 5 hivi,
Sasa hua najiuliza wabongo wanapata wapi pesa za anasa?
Jibu ni Kwamba ni wapambanaji na pesa ipo ila uswahili tu!
😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Keko kila ijumaa kuna party na watu wamekula sare za vijora
 
Watz hatuna tu macho.Niliwaambia classmates zangu tukiwa shuleni ambao wengi sasa wapo USA,UK,Nk wakiwa wamechukua uraia wa huko kabisa kwamba Mimi siwezi nikaondoka tza nikaacha utajiri wote huu.Usipotajirika Tza huwezi tajirika popote
Na rafiki zangu wa Thailand na Srilanka wao ni ndege ni kama uber wanakaa tza wanakusanya madini vijijini wanajaza hao kwao wiki wanarudi wanakaa mwezi tza mzigo ukijaa hao kwao.
Tza ni shambani wanayapeleka madini kwao kuyaongeza thamani kisha wanauza ulaya kwa pesa ndefu.
Usipotajirika TANZANIA utakuwa masikini milele
Utajiri ni mchanganyiko wa mambo mengi mkuu, positive mindset, determination, capital, risking. Kwenye capital ndio kuna mgawanyiko hapo; human capital na financial capital!

Ndani ya human capital kuna swala linaitwa connections. Askari,Wanajeshi,Matajiri,Wakurugenzi na zaidi ya hao.

Financial capital ndio pesa yenyewe sasa. Hapa ni hela ama cash money.Ukisikia pesa inaleta pesa ndio hivyo sasa usidanganyike na vitabu vya rich dad poor dad utachelewa maisha ni real sio story.

Ukivikosa hivyo ama ukawa huna access navyo jua utaendelea kuwa kapuku tu. Utajiri hauji kama hauna hivyo vitu hapo. Labda urithishwe mali kama Mo Dewji!
 
😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Keko kila ijumaa kuna party na watu wamekula sare za vijora
hatari Sana kiufupi bongo Hela ipo ya kutosha imetulia inakungoja ni ujanja wako tu hapa mjini huwezi kosa Hela wewe kusanya mawe Yako Tani 5 Kwa kuokoteza halafu tangaza nauza mawe hapa huwezi kosa wateja katu,Kila kitu ni biashara bongo Hadi Dini yaani wewe huoni kina shila eti nao ni manabii na Wanakusanya sadaka mpaka 1million per Sunday
Bongo nyosso!
😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom