AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Africa hakuna Masikini Kwanza ujue hilo. Bongo hapa hakuna Ombaomba anayefunga hesabu 0tsh kwa siku....huku Africa Kuna mgawanyo usio sawa wa raslimali pamoja na Uongozi mbovu. So usishangae hayo magari yakiwa mengi dar.... Watu wana hela sema wewe hujajua chimbo nawe ukaneemeke.
Hiyo Congo wameiiba tangu enzi na enzi na bado haijaisha. Madini everywhere ni kama wametoa tone la maji baharini.
So mwamba tafuta chanel tu utaona zinavyomwagika upande Wako pia
Hiyo Congo wameiiba tangu enzi na enzi na bado haijaisha. Madini everywhere ni kama wametoa tone la maji baharini.
So mwamba tafuta chanel tu utaona zinavyomwagika upande Wako pia