Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliona makala yao moja hivi!Waboregne waustralia weusi ndo wao maisha yao ni kama Waafrika.
Wana mambo ya kishirikina balaa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliona makala yao moja hivi!Waboregne waustralia weusi ndo wao maisha yao ni kama Waafrika.
Mhhh lazima uliuziwa mbovu. Hakuna gari comfortable kama Prado za kuanzia mwaka 2000.Mkuu yangu ni ya 2010 na nimeuza maana iliwahi nitokea hiyo ishu mara 2, mara ya kwanza Naelekea Dodoma, na Mara ya Pili naelekea Mtwara. SINA HAMU NAYO. Sijui shida ni nini au kwakuwa sio mtaalam wa magari ila PRADO TX hapana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sky EclatInawezekana kuna walio anza kupata mgao wa Barrick ambao kila mtanzania atapataa Noah
Nipe mchongo man na mm napiga hizi mbishe ila sijatoka tuuWatz hatuna tu macho.Niliwaambia classmates zangu tukiwa shuleni ambao wengi sasa wapo USA,UK,Nk wakiwa wamechukua uraia wa huko kabisa kwamba Mimi siwezi nikaondoka tza nikaacha utajiri wote huu.Usipotajirika Tza huwezi tajirika popote
Na rafiki zangu wa Thailand na Srilanka wao ni ndege ni kama uber wanakaa tza wanakusanya madini vijijini wanajaza hao kwao wiki wanarudi wanakaa mwezi tza mzigo ukijaa hao kwao.
Tza ni shambani wanayapeleka madini kwao kuyaongeza thamani kisha wanauza ulaya kwa pesa ndefu.
Usipotajirika TANZANIA utakuwa masikini milele
'pretty number'. [emoji1787][emoji1787]Jioni tukishawapeleka wakubwa majumbani mwao tunabadili pretty number
Embu iweke vizur hiki kipande,ni nan alikuwa na houseboy shoga?
"Halafu zipo pia za mchongo refer kesi ya sabaya ile aliinunua kwa mwarabu 60mill mpaka ikaja kujulikanika kwamba jamaa alikuwa na houseboy shoga."
Kaka type error hiyo'pretty number'. [emoji1787][emoji1787]
Sasa mkuu wangu wa kupuliza nikipata mchongo wa kuchanganya koktal unadhani nitalala njaa?Sasa Mjomba Kama bongo Maisha Ni marahisi hivi kwanini wewe usifanye huo mchongo mpk ukawa unatafuta kazi ya kua mchanganya cocktail huko mahotelini mkuu?
Hahah nimekusoma mkuu,no pun intended.All the best mkuu.Sasa mkuu wangu wa kupuliza nikipata mchongo wa kuchanganya koktal unadhani nitalala njaa?
Najua Mimi nikishapata huo mchongo nitaweza endesha maisha na kutengeneza chanel nyingine huko huko
Note: Sina mke,Wala mchumba Sina majukumu makubwa ya kunifanya niwe na matumizi makubwa ya fedha imagine nikipiga deals zangu nikamake 8k per month na tip za hapa na pale nitakua sipo Kwenye kundi la wanyonge according to me!
Did you get me!
You know!
😁😁😁😁
Salute!Hahah nimekusoma mkuu,no pun intended.All the best mkuu.
Nje wapi mkuu??Ndo maana baada ya UHURU wakafata sera za ujamaa na ujamaa ukazaa udikteta.
Ujamaa na udikteta ni pacha Ili kuwadhibiti watawaliwa.
Thus awataki katiba mpya itawabana kuwatawala wananchi.
Afrika kuna watawala wenzetu hawana watawala Wana viongozi.
Thus huwezi kuta wanachezea kodi za wananchi.Watawala wa kiafrica baada ya kuzibomoa nchi zao wakawapropanda waafrika eti matatizo ya afrika yamesababishwa na wazungu lengo kuu ni kujificha na lawama ya aibu ya kudai UHURU kwa Mbwembe huku wakiwananga wakoloni baada ya UHURU tutakuwa mbali zaidi,wakaprovu failure mbaya sana mara mia ya mkoloni mwenyewe.Check mugabe,savimbi,banda nk ni wasomi wakubwa tu level ya phd wakazitumia vibaya phd zao kuzibomoa nchi zao zilizojengwa vizuri na wakoloni.
Always African leaders dies in foreign hospital hii ni shame sababu awaboreshi mifumo ya Afya ya nchi zao checkup na matibabu nje.
Hata mwendakuzimu alifia nje.
Tumekuja mapumziko ya Krismass na mwisho wa mwaka hapa mjini. Sikukuu zikiisha tunarudi zetu shamba.Sijajua watu wanafukua wapi hela, Kila cku huku dar Nakutana Na land cruiser v8 zenye condition nzuri tena Gari binafsi zenye Plate number d, najiuliza na hii mishahara midogo ya taasisi za kibongo ya laki 8 kwa mwezi, watu wanawezaje miliki Na ku-maintain gari ya Tshs million 80 - million 200 plus?
Anaenunua Toyota v8 kwenye account atakua na tsh ngapi? Ina maana hapa bongo Watu wengi kiasi ni matajiri?
sasa hao si ni matajiri tayari ?3.Export,yaani kucheza na soko la India, China na Kenya kujua wanataka nini.India na China population zao ni kubwa sana na wanahitaji Sana vitu vingi toka TANZANIA uwe mtundu tu wa kusaka taarifa kwenye mitandao.
Wakenya wanaitumia Sana fursa hio kupitia TANZANIA Shamba la bibi wanakuja wananunua Tza wanaexport,mfano maparachichi,matunda,madini nk.
4.Ukiagiza nje mashine za kuzalisha vifaa vya ujenzi mbadala
Madini sio lazima uwe tajiri tayari mfano dhahabu za mtoni ni ugali wako,koleo,gunia,umemaliza.madini mengi Tza ni ugali wako tu na dagaa Mdogo mdogo ukipata pesa ndo unanunua vifaa,na technology imekua vipo vingi vya kisasa hela ndogo.sasa hao si ni matajiri tayari ?
Mtu anaeweza ku import mashine za vifaa vya ujenzi mbadala au ku export maparachichi na madini huyo tayari ana milioni around 300 na kuendelea.....
japo sina hakika sana, lakini sioni unawezaje kuanza mradi wa ku export vitu perishable kama matunda kwa mtaji wa milioni 50, mia, mia 50
Kutoka ni mchakato na uvumilivuNipe mchongo man na mm napiga hizi mbishe ila sijatoka tuu
Yaap ushirikina na umasikini vinaendana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliona makala yao moja hivi!
Wana mambo ya kishirikina balaa,
Aminia mkuu,hapo tena uwezi kuingia lodi kuandamana.Mkuu, baada ya miaka 5 na mimi ntavuta huyu mnyama ndio roho yangu itulie, View attachment 2051678
Kabisa mkuu!Aminia mkuu,hapo tena uwezi kuingia lodi kuandamana.
Hizi gari Ni kichomi,Hakuna gari hapo. Haitulii barabarani, ugonjwa wa kuchomoka tairi ukiwa speed kubwa. Prado ni [emoji706][emoji706][emoji706] sitaki hata kusikia hizo gari.