Kwanini Dar es Salaam magari binafsi aina ya Landcruiser V8 yako mengi sana?

Kwanini Dar es Salaam magari binafsi aina ya Landcruiser V8 yako mengi sana?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Keko kila ijumaa kuna party na watu wamekula sare za vijora
Sasa n Dar sio mkoani jaman wee mpare, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utajiri ni mchanganyiko wa mambo mengi mkuu, positive mindset, determination, capital, risking. Kwenye capital ndio kuna mgawanyiko hapo; human capital na financial capital!

Ndani ya human capital kuna swala linaitwa connections. Askari,Wanajeshi,Matajiri,Wakurugenzi na zaidi ya hao.

Financial capital ndio pesa yenyewe sasa. Hapa ni hela ama cash money.Ukisikia pesa inaleta pesa ndio hivyo sasa usidanganyike na vitabu vya rich dad poor dad utachelewa maisha ni real sio story.

Ukivikosa hivyo ama ukawa huna access navyo jua utaendelea kuwa kapuku tu. Utajiri hauji kama hauna hivyo vitu hapo. Labda urithishwe mali kama Mo Dewji!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hatari Sana kiufupi bongo Hela ipo ya kutosha imetulia inakungoja ni ujanja wako tu hapa mjini huwezi kosa Hela wewe kusanya mawe Yako Tani 5 Kwa kuokoteza halafu tangaza nauza mawe hapa huwezi kosa wateja katu,Kila kitu ni biashara bongo Hadi Dini yaani wewe huoni kina shila eti nao ni manabii na Wanakusanya sadaka mpaka 1million per Sunday
Bongo nyosso!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Africa viongozi huku ni kama Miungu watu yani mtu akishapewa madaraka akili za kibinadamu anaziwacha pale anapoingia mlango wa ofisini tu[emoji28]!

Ni kujineemesha kwa kwenda mbele kwa kila fursa anayoona iko usawa wake yani na kejeli nyingi tu kwa wananchi sema tu ni vile tumeumbiwa upole ila kwa nchi ambazo wananchi ni vichaa upuuzi kama unaofanyika nchini hapa hawawezi uvumilia hata kwa week 1 tu lazma kiumane.

Yani mtu anafanya ufisadi kwenye hela za umma na still atatoa jibu jepesi tu akiulizwa na sababu ana backup ya askari anajua hatoguswa. Raisi nae unakuta wala hana habari na mtu[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahah maisha maraisi kwenye Keyboard mkuu ukimwagwa field kitaani with bare hands uambiwe pambana uzalishe 1M tu kwa mwezi ndio utajua hujui![emoji28]

Yani pambana mwisho wa mwezi uwe una 1M kibunda mkononi bila shughuli maalum ndio utajua kama Dar maisha ni maraisi au mawaziri mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo maana baada ya UHURU wakafata sera za ujamaa na ujamaa ukazaa udikteta.
Ujamaa na udikteta ni pacha Ili kuwadhibiti watawaliwa.
Thus awataki katiba mpya itawabana kuwatawala wananchi.
Afrika kuna watawala wenzetu hawana watawala Wana viongozi.
Thus huwezi kuta wanachezea kodi za wananchi.Watawala wa kiafrica baada ya kuzibomoa nchi zao wakawapropanda waafrika eti matatizo ya afrika yamesababishwa na wazungu lengo kuu ni kujificha na lawama ya aibu ya kudai UHURU kwa Mbwembe huku wakiwananga wakoloni baada ya UHURU tutakuwa mbali zaidi,wakaprovu failure mbaya sana mara mia ya mkoloni mwenyewe.Check mugabe,savimbi,banda nk ni wasomi wakubwa tu level ya phd wakazitumia vibaya phd zao kuzibomoa nchi zao zilizojengwa vizuri na wakoloni.
Always African leaders dies in foreign hospital hii ni shame sababu awaboreshi mifumo ya Afya ya nchi zao checkup na matibabu nje.
Hata mwendakuzimu alifia nje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli mkuu ni kupambana na hali yako. Ukiishi masaki haya mambo ni ya kawaida. Gari za maana zote ziko masaki jamani.

Mwaka jana mwezi wa 6 tulipata msiba hapo masaki na covid ile watu walikuwa wanakuja kwa awam

Cha kushangaza nilikuwa naona kidada kidogo kama 20 yrs kinakuja kusalimia msiba kimevuta v8 ya maana. Wakitoka mi namuuliza mama anasema mtoto wa mama fulani kuleee mmh na unakuta sio familiya za viongozi wa serikali ni familiya za watu wa kawaida.moyoni najisemea watu wanaishi.[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna vitoto vingine vilikuja kusalimia msiba ahaaa mimi ndo nilifungua geti vinauliza mama yupo najibu ndio , mama kaja vikashuka na vikaputura vyao, vikasema mama pole na nsiba sisi hata hatukai tumetuma tu drop hapa hivi tu ahaaa hiyo chuma vilivyokuwa vikiendesha ilibidi tu nicheke.

So haya mambo yapo sana dar, ni kula kwa urefu wa kamba yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wana pesa bhana, tuache utan, mtu anakuja chuo anakutembelea chuo na mkoko wa maan, unabaki kusema "hii"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dar ni kitovu cha biashara, asilimia 90 ya shughuli zote ni za watu binafsi. Kuna watanzania zaidi ya 200,000 wenye zaidi ya 1m USDollars, yaani bilioni 2.3. Hivyo basi hata number ya V8 haitoshi, wengi ni mabahili.
Wazee wa Muji wamerudi Upya sasa
 
Bro, means $1M kwa hapa Tanzania hawafiki hata laki moja??
Wachache hivyo, mbona naona idadi yako ndogo sana.

Japo sina mkwanja huo, ila naona madon wengi wapo ila kimya kimya wanakula mema ya nchi.
Kuna mtu kaingiza Tuareg 2 kwa mpigo, silver na nyingine black.
 
Back
Top Bottom