Kwanini dhehebu la SDA huwa wanalishambiulia zaidi Kanisa Katoliki na siyo madhehebu mengine?

Ile ki Neno la Mungu ni KOSA ila na hawana andiko la kujitetea
 
“I Kor 7:8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni HERI wakae kama mimi nilivyo.”
“1 Tim 1:1-3:
Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe; WAKIWAZUIA WATU WASIOE, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli.”

Ukilinganisha shairi hizi mbili ndipo utajilinda kuhukumu mwenzio. Hakuna andiko lililo kubwa kuliko lingine. Paulo anaposema ni heri kubaki kama yeye huku akiwa kiongongozi wa kanisa pia bila mke alipenda tujue kama kuwa na mke inaweza punguza nguvu za utumishi. Ndipo akasema ni heri kuwa kama yeye. Pia akaendelea akisema” I Kor 7:9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni AFADHALI kuoa kuliko kuwaka tamaa”. Hivi hatuwezi sema kama tendo la kuoa kwa Mtumishi wa Mungu ni ujasiri wala utakatifu, la hasha, ni kukimbia tamaa.

nenda kasome vizuri Biblia nimechokoka kukuelimisha maana umekazania kimstari kimoja ambacho akina maana.
Inaonekana una upeo mdogo wa kufikiri.
 
Alafu mbona unajichanganya eti Paulo alikuwa na majukumu mazito zaidi lakini tunaangalia alikwa ni nani
Paulo alikuwa pia ni mchungaji wa kondoo zake kama ilivyo kwa Askofu

Mtume Paulo hakuoa mke, Alijizuia kuoa ili aihubiri Injili pasipo kuvutwa na mambo mawili, yaani mambo ya kumpendezesha mke na kumpendezesha Mungu..

1Wakorintho 7 :32 “Lakini nataka msiwe na masumbufu. Yeye asiyeoa hujishughulisha na mambo ya Bwana, ampendezeje Bwana;

33 bali yeye aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia hii, jinsi atakavyompendeza mkewe”.

kama alivyokuwa Yohana Mbatizaji na Eliya Nabii hao pia hawakuoa. Na hivyo kuwafanya Injili yao kuwa na matunda mengi kuliko wengine wote.

Biblia inasema hakuna Nabii aliyetokea aliye Mkuu kuliko Yohana Mbatizaji, kadhalika Eliya ni nabii pekee ambaye hakuonja mauti..Na Mtume Paulo ni Mtume pekee ambaye alifanya kazi kuliko wote waliomtangulia.
 
Naludia tena na kusema tena kwa Mimi na wewe ukiwa hatuwezi kujizuia na tuoe Ila kwa askofu tunaludi kwenye andiko lake kua imempasa aoe, hiyo ni razima ni wajibu

Lakini pia usisahau swala la wanawake kua na mamlaka, kujitengenezea vinyago na kuomba kwa wafu bible imekataza.

Yaani kwa hakili ya kawaida Tu mpo makosani kwa vitu vingi, ndugu yangu toka huko ludi kwenye neno bible haujawahi kujipinga ila kaama unatafuta vifungu vya kukubariki endelea kutafuta
 
Huwezi kunitoa kwenye dini ya kweli nije huko kwenye ushetani

Mimi hata uje na mapanga KAMWE SIWEZI KUJA KWENYE DINI ILIONZISHWA NA MWANAMKE BI HELLEN G WHITE
 
Mtume Paulo hakuoa mke, Alijizuia kuoa ili aihubiri Injili pasipo kuvutwa na mambo mawili, yaani mambo ya kumpendezesha mke na kumpendezesha Mungu..

1Wakorintho 7 :32 “Lakini nataka msiwe na masumbufu. Yeye asiyeoa hujishughulisha na mambo ya Bwana, ampendezeje Bwana;

33 bali yeye aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia hii, jinsi atakavyompendeza mkewe”.

kama alivyokuwa Yohana Mbatizaji na Eliya Nabii hao pia hawakuoa. Na hivyo kuwafanya Injili yao kuwa na matunda mengi kuliko wengine wote.
 
Unajua kazi ya Paulo ni kua nuru ya mataifa unajua kua Paulo yeye alikua
NI mjumbe kwa wamataifa na ndio maana alikua na mamlaka ya kumfokea petro. Amka usingizini huyo papa mnaedai haoi alafu mnakuja kusema kua petro ni papa wa Kwanza wakati huo huyohuyo petro ameoa. Amka usingizini. Mimi sipo kwa Ajili ya kubishana Ila Angalia Neno la Mungu nakuonesha mlipodondoka, ndugu kama hutojali nikupe no ya simu ili tuone je mpo nje ya bible kwa Neno hilo tu ama nengi?

hebu wazia mwaka 1500s Martin Luther aliandika makosa ya catholic 95 ambayo yanahitaji masahihisho na aliwaambia kua kama mnataka niache kutangaza hivi basi nionyeshe I KOSA langu kwenye biblia, na nionyesheni kwamba kwa mujibu wa andiko gani mnafanya haya.

ikikupendeza nipe no ya simu tuongee tena huku kila mtu akiwa ameshika biblia ili uone je kipi NI kipi.. TOKA HUKO NDUGU WW NI NDUGU, MIMI NI NGUMU KWASABABU KILA KITU NAKUONESHA KWA NENO, NA NIMEKAA ROMAN CATHOLIC MIAKA MINGI, NIKAFUNDISHA HADI MASWALA PRIMARY, SECONDARY, CHUO KOTE NILIKUA KIONGOZI WA ROMAN CATHOLIC LAKINI WAMEANGUKA KWA MAKOSA MENGI MNO
 
Kwani Mungu alivyopumzika siku ya saba, siku ya nane aliendelea na kazi gani
 
Huwezi kunitoa kwenye dini ya kweli nije huko kwenye ushetani

Mimi hata uje na mapanga KAMWE SIWEZI KUJA KWENYE DINI ILIONZISHWA NA MWANAMKE BI HELLEN G WHITE
Ndugu msabato yupo makosani pia Mimi si msabato, si mluteli , si mkatoriki wala si mpetekoste, Mimi ni mkristo walioipokea injili waliitwa wakristo kama ilivyo kwenye MATENDO 11:26

Siwezi kua msabato Mimi hao nabii wao ni mwanamke na mwanamke imekatazwa kwenye bible kuhubiri, yeye aliwafundisha hao wapo nje ya Neno 100% ndugu yangu Yani hao na wakatoriki wote sawa wasikutishe.
 
Kwani mimi na wewe nani anajibu kwa maandiko
Mimi nakujibu kwa maandiko wewe umekazania yampasa tu 🤣🤣🤣 leta jambo jingine hili umefeli
Na kama ndio mnatumwaga kutafuta waumini wa makanisa yenu hivyo umefeli tena

Na kwa kumalizia pia kwa nini Yohana Mbatizaji na Elia hawakuoa?
 
Jumapili wakatoliki wanasherekea ufufuko wa Yesu, wewe jumamosi unasherekea nini?
 
Basi baki na imani yako ndugu yangu nakutakia siku njema
 
sio wasabatho wanawapinga wakatoliki hata waislamu hawawapendi wakatoliki tena afadhali ya sabatho
 
Soma Luke 8:26 je, wale Nguruwe waliokuwa wakichungwa hawakuwa mlimani hawakumilikiwa?
Kumbuka walikuwa Wakichungwa!
Harama inachungwa? Or inamilikiwa!?
Pia kuna wale nguruwe aliokuwa nachunga mwana mpotevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…