Kwanini dhehebu la SDA huwa wanalishambiulia zaidi Kanisa Katoliki na siyo madhehebu mengine?

Sisi tunasoma pia na Agano jipya..kwanini hao wasabato hawalitaki agano jipya?.ikiwa hilo agano la kale lilikua sheria nyingi zilikua za Mussa..ambazo Yesu alipokuja aliziboresha..
 
Sisi tunasoma pia na Agano jipya..kwanini hao wasabato hawalitaki agano jipya?.ikiwa hilo agano la kale lilikua sheria nyingi zilikua za Mussa..ambazo Yesu alipokuja aliziboresha..
Sisi tunasoma Bible kama ilivyo, hatujawahi kubagua agano jipya na la kale. RC mmeamua kuibagua bible na kuegemea agano jipya peke yake.
 
Short and clear .wasabato wanaamini kupitia kitabu cha ufunuo kwenye biblia kuwa alama ya mnyama kuna Marekani na katoliki wataungana kupitisha amri ya kusali jumapili na hapo ndio kutatokea Mateso kwa washika sabato...Rumi ya zamani ilitesa wakristo na Roma ya sasa itakuja tesa tena wakristo
 
Hiyo Bibilia wanayoamini si wameandika hao hao wanaowachukia
 
Hao ni watumwa wa agano la kale.mbaya zaidi sheria zilikua nyingi tu na zingine hawazifuati. Yesu alikuja kuziboresha mana zilikua mzigo kweli kweli. Ndomana kwenye mahubiri ya Yesu hatusikii mambo ya kutokula nguruwe sijui na vijisheria sheria vya ajabu. Sema tu wasabato kama waislam tu kila siku kushikilia sheria ambazo zilikua mahsusi kwa waisrael sasa sijui wanajiita wakristo kwa msingi upi while bado wanashikilia hzo sheria
 
Hapo kwenye kuibadilisha siku ya kumuabudu Allah umechapia. Hebu rekebisha kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…