Kwanini dhehebu la SDA huwa wanalishambiulia zaidi Kanisa Katoliki na siyo madhehebu mengine?

Utakapojua siku ya Saba ya juma ipi hautabishana sana.maandiko yanasema ht baada ya uumbaji Mungu alipumzika yaani siku ya Saba (JUMAMOSI),hata siku ya kwanza ya juma (JUMAPILI) Yesu alifufuka yaani JUMAPILI.
 
Hiyo ilikuwa zamani babu siku hizi mambo ni tofauti. SDA ya sasa imeshakengeuka na kuwa kuungana na RC kwa mambo mengi sana kiasi kwamba leo hii ukitafuta tofauti ya muSDA na muRC tofauti labda utaipata siku ya kuabudu mmoja anaabudu Jumamosi na mwingine Jumapili
 
Allah ninani tena huko usabaton
 
Ninacho kiona Wasabato wanasisitiza watu warudi katika solar scripture yaani ,watu wafuate maandiko matakatifu as per bible na sio mawazo ya watu na wanapiga kote ,kote sio
 
Kwahiyo hatutumii muda wetu kumuabudu Mungu tunatafuta kuwashambulia tunaoona hawako sahihi? Ulishawahi kuona mo anamshambulia bakhresa? Kila mtu afanye yake kwani lazima umshambulie mtu? Wasabato Kama haya ndiyo mnayojifuza makanisani mwenu basi mnaona mpo defeated that's why you talk shit about us
 
Nani Ana muda wa kuwatesa wasabato, hamna mtu mwenye muda na kuwatesa . tuwatese ili iweje ?
 
Yaani ukatae kitabu ulichokianfika mwenyewe, Yuu can't be reious kijana. Hivi unajua biblia imeandikwa na wakatoliki? Ingekuwa wanaogopa kitabu Chao wenyewe si wangekichoma moto hata nyie msingekiona!! Shida yenu ni elimu ndogo tu
 
Wasabato wanapinga mfumo wa upapa(papal system) hivyo VATICAN ni adui moja kwa moja , nimebahatika kukaa nao karibu, wanaamini katika kupumzika siku ya jumamosi (ya Saba) .

Note :wanawake wa kisabato wanaongoza kwa nywele natural [emoji16]
Kweli nywele zao natural but wanatafunika kama cake tu. [emoji23]

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
SDA sio wakristo. Kwa ufupi achana na wasabato wa kilokole ambao wanajiongoza kwa biblia tu, fatilia misingi ya usabato kuanzia ubatizo wao utagundua si Wakristo.

Kanisa aliloanzisha Kristo ni Kanisa Katoliki tu ambalo liligawanyika karne ya kumi na kutokea Kanisa la Orthodox, nje ya hapo ni uasi tu, kuanzia Padre Martin Luther, King Hery VIII n.k
 
Angalia mtazamo wa Wasabato juu ya ubatizo.

Baptism is also used in church membership categories, but this is not an issue of salvation. It’s just an administrative method of keeping up with a large family of believers.
 
Sisi tunasoma pia na Agano jipya..kwanini hao wasabato hawalitaki agano jipya?.ikiwa hilo agano la kale lilikua sheria nyingi zilikua za Mussa..ambazo Yesu alipokuja aliziboresha..
Wapi Wasabato wamesema hawalitaki Agano Jipya?
 
Bikla Ukatoliki Dunia hii isingekuwa salama. Mfumo wote wa Dunia wameutengeneza wao, kuanzia kalenda hadi Bibilia yenyewe wameandika wao
Kwamba wameiandika afu hawaifati?
 
Siku ya kwanza ya juma ni jumamosi ndugu. Mosi ni moja , pili ni mbili na tatu ni tatu so hao wasabato wenyewe nilitegemea wawe wanasali ijumaa kama wafuasi wa Mudi
Kwamba Pasaka ikoje
Yesu alikufa lini na Akafufuka lini ?
 
Ukishawaweka hapo hawawezi kukujibu kitu
 
Utakapojua siku ya Saba ya juma ipi hautabishana sana.maandiko yanasema ht baada ya uumbaji Mungu alipumzika yaani siku ya Saba (JUMAMOSI),hata siku ya kwanza ya juma (JUMAPILI) Yesu alifufuka yaani JUMAPILI.
Hii hoja hawataki isikia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…