Kwanini dhehebu la SDA huwa wanalishambiulia zaidi Kanisa Katoliki na siyo madhehebu mengine?

Hili huwezi kulithibitisha hata kidogo. Mimi nikuulize swali kama WAKATORIKI NI waandishi WA bible mbona hawaifuati? Bible imekataza mwanamke asihubiri mbona wao wanahubiri?, askofu imempasa awe na mke mmoja mbona hawaoi? Bible inasema hata maraika asiabudiwe mbona hao ndio wamewafanya ndio WA kuwaomba?

ndugu yangu nakupenda mno usitetee dhehebu tetea neno la Mungu hakika itakua salama katika ufalme wa Mungu Amini Tu hilo.
 
Padre neno la kilatini lenye maana ya baba
 
Biblia ni kitabu ambacho unaweza PATA Imani zaidi ya tano humo ndani,agano la kale ni vitabu vya wayahudi,agano jipya masela nondo wakaamua kubumba vyao
Kabsa mkuu ila ukwel hauwezi kufutika kuwa roma ndio walio itunza kwa mamia ya miaka.
 
Bangi hizi, Rais anapovunja katiba kwamba hajaapa kwa mujibu wa katiba?

Haya tuambie vitabu na nyaraka za Biblia vimekusanywa na nani na kuwekwa kuwa kitabu kimoja?
 
Kwa sababu nyingi,miongoni mwanzo ni katoliki ni dini dhaifu kimisingi hata kwa biblia,yaani Haina uhusiano wowote na biblia,pili wakatoliki hawasomi,hawawezi Jenga hoja dhidi ya mtu,hawajui chochote ni kondoo
Na ukiwapa hoja wanaishia kusema
" kanisa mama" " kanisa la mitume", nakubaliana na wewe kua wanajua ni dhaifu katika yale wayatendayo na hayaendani na Bible
 
Bangi hizi, Rais anapovunja katiba kwamba hajaapa kwa mujibu wa katiba?

Haya tuambie vitabu na nyaraka za Biblia vimekusanywa na nani na kuwekwa kuwa kitabu kimoja?
Unajua utawala wa Roma ulivamia kanisa kwa mbele, so bible ilikusanywa na wenyenia njema ikaangukia kwa waovu.

Jina lenyewe tu linasema kila kitu,

" Roman catholic" kwanini iwe Roman ? Kwanini isiwe Christian catholic?
 
Muujiza wa kwanza wa Yesu kwenye harusi kana alifanya nini?

Protestant hamnaga akili wala hamjui lolote unafki tu unawasumbuwa
 
Lakini wanaoana
 
Huwa naishia kuwapuuza wale wanaoshupaza shingo na kusema RC hawatumii biblia

Shida ni kwamba, wao wanapondea kitu wasichokijua kabisa, hawajawahi kuuishi ukatoriki zaidi ya kusikia story mitaani tu.
Hakuna ibada ya misayoyote ya kanisa katoliki ambayo inakosa injiri ndio yanafuata mahubiri ya kuifafanuwa injiri, sasa somo laq kwanza na somo la pili linasomwa kutoka wapi kama siyo kwenye vitabu vya biblia? kimsingi ibada nzima iko hapo kwenye injiri.
 
Unajua utawala wa Roma ulivamia kanisa kwa mbele, so bible ilikusanywa na wenyenia njema ikaangukia kwa waovu.

Jina lenyewe tu linasema kila kitu,

" Roman catholic" kwanini iwe Roman ? Kwanini isiwe Christian catholic?
Sasa ukae kitako kwa kutulia, nikupe elimu hii tu au nikupe historia ya kanisa ili ukawafundishe na wengine?

Iko hivi, Roman Catholic ni kanisa katoliki la Magharibi na eastern Catholic church ni Orthodox na Coptic la Masri.

Ukitaka kuyajuwa haya sasa ndio usome historia ya kanisa, hata Anglican ni kanisa Katoliki pia, Anglican ni church of England.
 
Unajua usabato ulianza lini na ulianzishwa na nani na kwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…