Kwanini dhehebu la SDA huwa wanalishambiulia zaidi Kanisa Katoliki na siyo madhehebu mengine?

Kwanini dhehebu la SDA huwa wanalishambiulia zaidi Kanisa Katoliki na siyo madhehebu mengine?

Ukitulia na kuisoma Bible ukiwa neutral, utagundua kuwa wasabato wapo sahihi kuliko dhehebu lolote lile duniani,
1: infact ulaji nguruwe ni kharam hata kibiblia,,eti wanadai "kimuingiacho mtu hakimtii unajisi bali kimtokacho"Kiuhalisia ukiisoma aya nzima pale yesu wala hakuwa akizungumzia ulaji wala nini ,alikuwa akizungumzia "maneno mabaya".
2:mamlaka ya papa kwenye biblia biblia,hivyo wapo sahihi kuipinga
3:mapadri-& masista hawajaandikwa popote pale kwenye biblia.
4:kuabudu siku ya kwanza ya juma " jumapili" hakujaandikwa popote pale kwenye biblia
5:katoliki haliongozwi na mwongozo wa biblia bali "amri za kanisa" na "katekisimu"....kwanini mtu aliyesoma biblia asipinge?
WASABATO WANATUMIA BIBLIA KUHOJI, HIVYO WAKATOLIKI HUWA HIYO LIGI WANAIKIMBIA ,HAWAYATAKI MAANDIKO YA BIBLIA AMBAYO PIA MARA MOJAMOJA NA WAO BIBLIA WANAITUMIA..

Mimi siyo msabato,bali muabudu mizimu ya mababu zangu,dini zenu hazinihusu kivile ila huwa nasoma biblia na Quran ili kujua mbivu na mbichi na kupanua ufahamu.
Kama hoja ni hizi, basi yamekutana maandazi tupu na busara ni kuwaangalieni tu, na kuwaambia kuwa 'mpo sahihi'
 
Yaani ukatae kitabu ulichokianfika mwenyewe, Yuu can't be reious kijana. Hivi unajua biblia imeandikwa na wakatoliki? Ingekuwa wanaogopa kitabu Chao wenyewe si wangekichoma moto hata nyie msingekiona!! Shida yenu ni elimu ndogo tu
Elimu ya darasani au ya dini? Kama ni darasani ni somo gani katika mtaala rasmi wa elimu linalofundisha elimu ya dini? MAVI YA KUKU
 
Katika mtu mjinga na poyoyo duniani,wewe wa kwanza, "ijumaa kuu" inaadhimishwa kwanini? Kwanini iwe ijumaa na siyo siku nyingine?kwanini pasaka inakuwa jpili? Unajua siku ya pasaka kuwa watu wanaadhimisha kufufuka kwa yesu? Unajua kwenye biblia kuwa kuna mtu alienda kuuomba mwili wa yesu siku aliyokufa kwa madai sabato isije kuukuta ukiwa bado msalabani? Ewe msomi mjinga, mwenye PhD ya ujinga ushawahi kutulia na kusoma biblia?ushawahi kuunganisha nukta kwanini kuna ijumaa kuu?kwanini pasaka iwe jumapili inayofuata?
Wewe ni mpumbavu, Pasaka Yesu ameikuta.
 
Tatizo la kusoma Biblia ukiwa umejikunja kama prawns ndiyo hili.
Try to broaden your horizons. Sasa mtu kama wewe hata kukujibu kusitisha ili kubalance, jamii bila vituko is very boring
 
Wasabato wanaamini katika mafundisho ya Biblia yale ambayo yameelekezwa na biblia na yale ambayo yalikuja kuondolewa basi yatafuatwa kwa utaratibu mpya

Baadhi ya vitu vilivyosisitizwa ni Amri 10 za Mungu hizo hazijawahi kubadilika, kitu ambacho makanisa mengine wanapinga mfano ni Usijifanyie sanamu ya kuchonga ifananayo na kitu chochote duniani, angani na chini ya bahari baadhi ya makanisa wanafanya hivyo hasa RC wanatengeneza masanamu na wanayasujudia.

Kwa kifupi kila wanachoamini wasabato kipo kwenye biblia na ukitaka sababu unapewa kwa vifungu na sio vinginevyo.
 
Kuna sehem nimesema Yesu alitunga sheria? Acha kukurupuka. Yesu alikazia hilo kuwa msingi wa sheria zote. Amri saba za torati zinaingia hapo tumia akili kufikri sitak kuandika sana. Pili hujajib swali lang... Sabato manyoshika ni ile ya Mungu kumaliza kazi, ile ya waisrael kufanya kazi siku sita na kupumzika au zinginezo? Mind you sabato zilikua nyingi tu. Mwisho ujibu kwann mnangangania tu hii ya kufanya kaz siku sita na saba kutofanya?

Unaposema Sheria ya Yesu ndio nikakuambia Yesu hakuleta sheria na Hana sheria hata Moja aliyoileta.

Kasome Kutoka 20:8-10 hiyo ndio sheria kuu Kwa habari za Sabato.
Hizo Sabato nyingi unazozisema naomba uniletee kifungu cha sheria kinachozionyesha.

Ni vizuri twende Kwa Vielelezo
 
Wao wanabatiza lakini hawaamini ubatizo ni njia ya wokovu bali ni ishara au alama ya wokovu! Wanasema wokovu unaletwa na damu ya Yesu tu sio ubatizo! Hivyo kwao ubatizo hauna faida yoyote zaidi ya ishara ya imani tu na kuwa member wa Kanisa [emoji1787]
Huwezi nifundisha kuhusu Usabato, Ubatizo
 
Ndio hao SDA, muanzilishi wa hilo dhehebu ni demu mmoja wa Kimarekani anaitwa Hellen G White.

Ukijuwa tu muanzilishi wa dhehebu ni demu ndio unaweza kuwapuuza hapohapo.
Sabato imeanzishwa na Mungu mwenyewe
 
Kupatikana kwake kulikua na kipigo kitakatifu...jasho na damu vilimwagika..so kila kitu kina dark side zake..lakini wote Mungu aliwashika mkono.
Muislam ukimzuwia kuhubiri na kufuata dini yake atakutwanga tu,Sina kumbukumbu ya Vita vya waarabu Spain Hadi kusimika dola
 
Ni kweli ndio maana ni ngumu kukuta jamii iliyojaa wakatholiki ikawa na mikwaruzano au umaskini wa kupitiliza kwa sababu ukatholiki unahubiri upendo kwa watu wote pasipo kujali misingi ya imani yao lakini pia ukatholiki, unakumbatia elimu dunia na maisha nje ya imani..

Hizi ndizo sababu, mkatholiki lazma awe mtu peace asiyebagua watu na sio kama wengine wanaojazwa sumu hadi kuona wanamiliki milango ya pepo huku wakitumia Bible kusambaza chuki tofauti na Yesu mwenyewe, aliyehubiri upendo kama amri kuu tena kiasi cha kukaa na wadhambi ili wapate kuokolewa.
Wakatoliki hawana mikwaruzano na watu!!..unawajua Julius Nyerere na titi Mohammed!?..wakatoliki hawana umasikini wa kutupwa!?..unajitazama familia tano mlizoajiriwa serikalini kimichongo siyo!?..nimetoka mji una wakatoliki wengi na njaa imewadunda mpaka basi,kua
 
Unaposema Sheria ya Yesu ndio nikakuambia Yesu hakuleta sheria na Hana sheria hata Moja aliyoileta.

Kasome Kutoka 20:8-10 hiyo ndio sheria kuu Kwa habari za Sabato.
Hizo Sabato nyingi unazozisema naomba uniletee kifungu cha sheria kinachozionyesha.

Ni vizuri twende Kwa Vielelezo
Mbona maswali yangu unakwepa unanijibu hilo tu na maelezo yangu yaki wazi? Yesu alinukuu sheria mama ambayo inabeba sheria zote. Watunzi wanaiita sheria ya kristo au sheria ya upendo
 
Ukitulia na kuisoma Bible ukiwa neutral, utagundua kuwa wasabato wapo sahihi kuliko dhehebu lolote lile duniani,
1: infact ulaji nguruwe ni kharam hata kibiblia,,eti wanadai "kimuingiacho mtu hakimtii unajisi bali kimtokacho"Kiuhalisia ukiisoma aya nzima pale yesu wala hakuwa akizungumzia ulaji wala nini ,alikuwa akizungumzia "maneno mabaya".
2:mamlaka ya papa kwenye biblia biblia,hivyo wapo sahihi kuipinga
3:mapadri-& masista hawajaandikwa popote pale kwenye biblia.
4:kuabudu siku ya kwanza ya juma " jumapili" hakujaandikwa popote pale kwenye biblia
5:katoliki haliongozwi na mwongozo wa biblia bali "amri za kanisa" na "katekisimu"....kwanini mtu aliyesoma biblia asipinge?
WASABATO WANATUMIA BIBLIA KUHOJI, HIVYO WAKATOLIKI HUWA HIYO LIGI WANAIKIMBIA ,HAWAYATAKI MAANDIKO YA BIBLIA AMBAYO PIA MARA MOJAMOJA NA WAO BIBLIA WANAITUMIA..

Mimi siyo msabato,bali muabudu mizimu ya mababu zangu,dini zenu hazinihusu kivile ila huwa nasoma biblia na Quran ili kujua mbivu na mbichi na kupanua ufahamu.
Umefail kujificha...

Pia naona kama watu hawajibu kilicho ulizwa ziadi naona SDA wanaendeleza yale yale kuhus KATORIKI.
Ni hivi jiulize wewe mwana SDA, hive anaye amini yeu YUPO na asiye amini yesu KABISA ni yupe anAhitaji huduma ziadi?..kwajibu lako nilitegemea wapagani na wasio wakristo ndi SDA lingepamba kukosoa vitabu vyao badala kila siku kuleta ngonjera za SABATO DAY na JUMA PILI.

Mosy ya wasabato kuanzia viongozi mpaka waumini ukiwaaanglia kama hamnazo hivi...wao kila kukicha ni wakatoliki tuuuuu...
Kama kweli mnacho amini ni cha kweli chukueni tena bible iwapeleke SAUDIA then okoeni watu kule...
 
Mbona maswali yangu unakwepa unanijibu hilo tu na maelezo yangu yaki wazi? Yesu alinukuu sheria mama ambayo inabeba sheria zote. Watunzi wanaiita sheria ya kristo au sheria ya upendo

Nashukuru Kwa kuungana na Mimi kuwa Yesu hakuwahi kuwa na sheria wala hakuleta SHERIA.

Unaweza nitajia hao watunzi hata mmoja ambaye anaziita hizo sheria za Kristo?
Kisha unitajie na hizo sheria ambazo zinaitwa za Kristo.
 
SDA walipotoshwa vibaya sana kuhusu mnyama 666 wanamshutumu eti papa ndie mnyama.
Wakati papa mwenyewe yupo chini ya mnyama akienda kinyume nae anauwawa.
Mnyama ni mfumo wa kidunia unaocontrol watu na kuipeleka dunia kulingana na beat zake.
Mara watakuja na ajenda za ugaidi mara corona mara ushoga mara sijui global warming nk.
Sasa papa Hana mamlaka ya kucontrol agenda za Duniani.
Kuhusu dini moja hakuna kitu kama Hicho huwezi ukaziunganisha dini zote ziwe moja Kila dini Ina ideology yake isiyofanana.
Hata hilo jengo la Chrislam lililopo Abudhab yaan msikiti, kanisa na sinagogi kujengewa ndani ya eneo moja haimaanishi kuunganisha dini hizo.
Dini moja ni mfumo mmoja wa kiimani unaowaunganisha watu wote Duniani kwa jambo moja la kumtukuza shetani wengine wanasema mchezo mpira ndio dini moja.
Thus kwenye mpira hakunaga Mtu anasinzia hata uchezwe masaa kumi lakini nyumba za ibada dk 40 nyingi Mtu anasinzia
Ok!
 
Back
Top Bottom