Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

Hao ni walelewa wetu! Tunawalipia kila kitu maji, umeme na matibabu!
 
Anaulizaje swali kama hilo wakati Zenji na Bara ni mamlaka mbili tofauti...

Wabongo wakionywa wabadili mtindo wa maisha kuepukana na maradhi kama hayo ya figo, ndio kwanza watia pamba masikioni...
Unauwezo mdogo kuna uwezekano mkubwa ulifail masomo
 
Hata hiyo 180k Samia kaipunguza ilikuwa 309k
 
Itakuwa gharama za wazenji zinabebwa na Tanganyika kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…