Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

Hivi uweze kupata hadhi ya kuwa Mzanzibar mkazi na uwe na haki zote za Kizanzibari ikiwemo na kumiliki ardhi na kupata huduma Bure za afya kwa ruhusa ya tajiri wa Zanzibar ni hatua zipi za kufuata? Ukizingatia Nina passport ya JMT
Huduma za afya kwa watanganyika ni bure hapa Zanzibar, haijalishi una kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi au lah.
Wengi wanasafiri kuja Zanzibar kwa matibabu ya bure na wanapewa.
 
Nchi ni mbili ila mbumbumbu ni mtanganyika.
 
Hivi uweze kupata hadhi ya kuwa Mzanzibar mkazi na uwe na haki zote za Kizanzibari ikiwemo na kumiliki ardhi na kupata huduma Bure za afya kwa ruhusa ya tajiri wa Zanzibar ni hatua zipi za kufuata? Ukizingatia Nina passport ya JMT
Unaweza kupata hadhi ya uzanzibar kwa kuwa na kitambulisho cha mzanzibar mkaazi na kinapatikana kwa kukaa Zanzibar kwa mda wa miaka 5 bila ya kuondoka.
 
Wajinga ndiyo waliwao.

Samia akifika 2030 Zenji itakuwa inafanana na Dubai.

Sasa hivi wana miradi mikubwa zaidi ya kumi ya matrilion.

Mama anachota tu.

Kaka yuko Zenji dada yuko uhjainumi kwa wajinga Tanganyika anakwapua tu.
 
NYINYI WATANGANYIKA SISI WAZANZIBARI
 
Zanzibar inawajali wananchi wake na inatambua maendeleo huletwa na watu wenye afya njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…