DOKEZO Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hua unaagiza kwa bei gn nchi 55
Hata hiyo TV iwe nchi ngapi bado bei haiwezi kuwa sawa ya dar na hapa huku parefu

Mimi TV nimetoa mfano tu ila nilinunua controller zile dj equipment pioneer cdj kwa milioni moja na laki dar
Huku Dodoma ilikuwa inauzwa dukani milioni 2 na nusu..

Umeona sasa
 
Hawanaga aibu maduka ya dodoma ,alafu hayajui biashara unakuta mtu anakuuzia kitu bei Kali na kushusha hataki
 
Nitajie taasisi tano tu au wizara zilizoludi dar
You're not a spoon fed person, fanya utafiti kidogo tu na utagundua kitu. Kuwa na jengo makao makuu Dodoma doesn't mean all activities are still being monitored in there. Ina maana hujui kwamba wafanyakazi wengi wamerudi Dar kwenye ofisi zao za zamani?
 
Kuwa na jengo makao makuu Dodoma doesn't mean all activities are still being monitored in there. Ina maana hujui kwamba wafanyakazi wengi wamerudi Dar kwenye ofisi zao za zamani?
Ni Moja tu ndugu , dodoma watu wanazidi kuhamia na sio kuhama
 
Hapo ndo wanakosea
 
Tupe maendeleo ya Standi na Soko la Dodoma
 
Bibi yenu hana mkono wa biashara! Hata huku kwingine biashara nyingi zinakufa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…