jastertz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 407
- 768
Hello JF!
Currently tuna changamoto ya ajira kwa wanazuoni wengi but hata zile zenye kipato kidogo hawataki. Anaona kuliko apewe 150k per month bora akae nyumbani au bila kazi. Bila kujua pale sio tu anapata 150k but exposure ya mambo mbali mbali pamoja na ujuzi na kuaminika maeneo mbalimbali. Mtu kamaliza 2015 but cv yake inaonesha experience ni field peke yake. Why?
Anyway pia mimi ni jobless natafuta kazi yenye kipato kizuri wakuu 😎🙁
Nina Bachelor of Science in Applied Statistics.