Kwanini Graduates wengi hawapendi kazi zenye kipato kidogo?

Kwanini Graduates wengi hawapendi kazi zenye kipato kidogo?

(150000÷30=5000kila siku sasa-1000 ya nauli inabaki 4000 alafu toa-1000ya chai inabaki 3000 alafu toa 1500 usiku mchana usile inabaki 1500. - 500 vocha = 1000

Weka buku × 30=30000 × 12= 360000
Laki 3.6 kwa mwaka kamtaji kazuri tu hako..

Shida vijana starehe hawa

ila kwa ambao mmepanga au una mke au mtoto ... Hiyo ni special case wife hapo lazima na yeye ajishughulishe in any means
Kumbe hadi chai anakunywa .😳😳😳😋😋
 
kuna muda wale wanaosadikika wapo freemason naona kama wamenizid akili
 
Ni rahisi kuandika na kushauri,hata kuna watu wanaandika vitabu namna ya kuwa tajiri ila wao ni mafukara!!...hio mia unusu haitoshi kuendesha maisha na hapo hapo uweke akiba,tukumbuke kuna DHARURA!
 
Ila hawa wazee wa siku hizi sijui wanatuonaje vijana hivi 150k za TAESA zinaendana na hali ya maisha ya saivi?
 
Kwa Dar, huu ni mshahara wa dada wa kazi anayekula na kulala hapo hapo kwako. Halipi kodi, bili ya maji wala umeme... na hatumii nauli kwenda kazini.
Graduate ukifikia mahali pa kukubali kulipwa 150K kwa mwezi, bora unywe sumu ufe ukale raha mbinguni...😎😎😎
Hii nayo ni point
 
(150000÷30=5000kila siku sasa-1000 ya nauli inabaki 4000 alafu toa-1000ya chai inabaki 3000 alafu toa 1500 usiku mchana usile inabaki 1500. - 500 vocha = 1000

Weka buku × 30=30000 × 12= 360000
Laki 3.6 kwa mwaka kamtaji kazuri tu hako..

Shida vijana starehe hawa

ila kwa ambao mmepanga au una mke au mtoto ... Hiyo ni special case wife hapo lazima na yeye ajishughulishe in any means
Usafiri wa nn mkuu huo ni uharibifu wa pesa
 
Back
Top Bottom