Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
๐๐๐๐jua kali bossKumbe 12x30,000 ni laki sita?
Motivesheni spika hata hesabu za darasa la pili hujui?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐jua kali bossKumbe 12x30,000 ni laki sita?
Motivesheni spika hata hesabu za darasa la pili hujui?!
๐๐๐๐jua kali boss si unaona wengi hapo wamelike na kulala mbele
kwa mawazo yangu siyo kwamba wamedharau pasipokuwa na sababu ya msingi ila wametumia elimu yao kutazama kilichopo mbele. Kumbuka kuna garama ambazo watakumbana nazo kama wakianza hizo kazi mfano nauli ,chakula,mawasiliano n.k hivo wanaweza jikuta hata huo mshahara usitoshe kukidhi hizo garama. Hapo bado kuna kodi kama mshahara utakuwa umefikia kiwango cha kukatwa kodi, bima ya afya, ada ya chama cha wafanyakazi,marejesho ya mkopo wa elimu kwa wale waliokopa.Na ukirudi kwenye familia zetu za kimaskini ndugu nao wataanza kukuomba bila fahamu kiwango kidogo unachopata na ukiwanyima ndiyo mwanzo wa kukwaruzana na ndugu.Ni kweli exposure inasaidia lakini garama za maisha zipo juu ndiyo sababu hasa. Mtu anaona bora akiwa nyumbani anaepuka garama kama hizo.Unajisikiaje unaenda kazini halafu mwisho wa mwezi mshahara wote unaishia kwenye nauli unabaki huna hata senti. Fikiria kwa mtu aliyeko Dar anaishi mbagala nauli 500/=mpaka mjini na kurudi 500/= jumla 1000/=. kwa siku 30 ni kama 30000/=. sasa hiyo ni nauli tu.Hello JF!
Currently tuna changamoto ya ajira kwa wanazuoni wengi but hata zile zenye kipato kidogo hawataki. Anaona kuliko apewe 150k per month bora akae nyumbani au bila kazi. Bila kujua pale sio tu anapata 150k but exposure ya mambo mbali mbali pamoja na ujuzi na kuaminika maeneo mbalimbali. Mtu kamaliza 2015 but cv yake inaonesha experience ni field peke yake. Why?
Anyway pia mimi ni jobless natafuta kazi yenye kipato kizuri wakuu ๐๐
Nina Bachelor of Science in Applied Statistics.
Si kazi ya malipo kiduchuMbona Kama umeenda pembeni.
Ualimu haujatjwa hapa.
Laki 3 unaiona ndogo wakati Kuna wafanyakazi wa serikali kwa mwezi wanachukua 280k
SO bora usiwe na kitu kabisa???Tuache masihara how would you survive with 150k in a whole month?
Kwani umeshikiwa bunduki kuchukua hiyo kazi?Mtu asome mpaka Degree umlipe laki tatu[emoji3][emoji3]
Mlipaji na mlipwaji Wote hawajitambui
Kote uko mbali kiongozi tandale, manzese na buguruni,mwananyamaMbande, Chanika, Mvuti
Vya giza auKote uko mbali kiongozi tandale, manzese na buguruni,mwananyama
Mentality unayo wewe. Muda unaotumika masomoni ni mrefu na pindi MTU anapohitimu tayari majukumu yameshamkaba. So lazim apate mshahara unaoendana na mahitaji kwa hasa ya kifamilia.Mentality tuliyojengewa Toka vizazi na vizazi kua ukisoma baasi sharti upate Kazi ya tai shingoni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ni mpaka ubahatike ofisi ambazo wanakupa muda wa kujiendeleza na madili au issue zingine. Kuna ofisi unaweza fikiria upo jela ukitoka tu kidogo ushatafutwa na mikwala kibao na sababu wanajua uhaba wa kazi ndiyo kabisaaa.Kuna kazi watu wanalipwa iyo pesa lakini madili yako kibao. Mpk mfanyakazi aendi kutoa salary yake baada y miezi 3.
Basi sawa mwache ashinde sebuleni kwa shemeji yake.150k amekua msomi wa dalasa la 7 ,
Acheni kuona watu wabaya kwa mshahara uwo kuna haja gan ya kwenda university akunaga experience wala exposure ya kijinga ivyo
Safi kiongozi piga kazi. Ipo cku itakubali.Mi Niko kwenye kiwanda Cha Chuma, nachukua buku9 lakini kazi ngumu Sana
Daaah kiongozi huu ndio ukweli mtupuUkimsikia graduate anasema ajira akuna huyo keshastuka lazima atakua na plan b ya kuendesha maisha ndo maana anatambua ajira akuna na bado 150k ataki anamipango huyoo
Ndio mdau.Vya giza au
And how would you survive without a single cent in a whole month?Tuache masihara how would you survive with 150k in a whole month?