Kwanini Graduates wengi hawapendi kazi zenye kipato kidogo?

Kwanini Graduates wengi hawapendi kazi zenye kipato kidogo?

(150000÷30=5000kila siku sasa-1000 ya nauli inabaki 4000 alafu toa-1000ya chai inabaki 3000 alafu toa 1500 usiku mchana usile inabaki 1500. - 500 vocha = 1000

Weka buku × 30=30000 × 12= 600000
Laki 6 kwa mwaka kamtaji kazuri tu hako..

Shida vijana starehe hawa

ila kwa ambao mmepanga au una mke au mtoto ... Hiyo ni special case wife hapo lazima na yeye ajishughulishe in any means
Unaish cbini ya daraja kodi ujatoa apo, ujala tunda kimasihara ko kwa mwaka unabaki na 400k
 
basi kwa mwaka mtaji utakua around 1m.
Tatizo la Tanzania twasoma bila kujua twasome ili iweje.
Mtu anasoma huku amekariri kupata kazi, hivyo ataibia mitihani,atajitesa kwa waganga ili afaulu.

Tungewekeza muda wa kusoma kujielimisha ili elimu itusaidie tatua changamoto zilizo mbele yetu mchawi angebaki mtaji tu na uaminifu
 
Tatizo ni mfumo wetu wa elimu tokea mwanzo.
Elimu sikuhizi imekua kibiashara zaidi,, kuna vitu vingine watu tunasoma hata hujui ni cha nini basii tu ile na wewe uambiwe umefika chuo. elimu yetu haiendani na mabadiliko ya kiteknolojia, tofauti na nchi za wenzetu zillizopiga hatua, unakuta taasisi inaongozwa na fresh graduates, hapa Bongo umpe kijana mwenye mwaka mmoja kutokea chuo bila usimamizi itakuwa ngumu.
 
Siskataa ila nimeelezea apo juu unakuta mtu analipwa 150k ila akiingia job akirudi anarud ata na 30k 20k sijui umeelewa uyo ndo anaweza endesha familia ila 150k kavu ya kungojea mwisho wa mwezi ni ngumu sana lbda ukute mke ni mshughulikaji
watu wana familia na wanasomesha 150k nyingi . ingia mtaani uone mkuu
 
Back
Top Bottom