Za sensa ulipata?Hello JF!
Currently tuna changamoto ya ajira kwa wanazuoni wengi but hata zile zenye kipato kidogo hawataki. Anaona kuliko apewe 150k per month bora akae nyumbani au bila kazi. Bila kujua pale sio tu anapata 150k but exposure ya mambo mbali mbali pamoja na ujuzi na kuaminika maeneo mbalimbali. Mtu kamaliza 2015 but cv yake inaonesha experience ni field peke yake. Why?
Anyway pia mimi ni jobless natafuta kazi yenye kipato kizuri wakuu 😎🙁
Nina Bachelor of Science in Applied Statistics.
sawa but majority ya hizo kazi lazima uanzie entry level.Walisoma ili wasifanye hizo kazi na pia waliambiwa ili wawe na Maisha mazuri na Kazi zenye kipato basi itawapasa kusoma.
Hivyo wanahaki
Kataa ualimuHello JF!
Currently tuna changamoto ya ajira kwa wanazuoni wengi but hata zile zenye kipato kidogo hawataki. Anaona kuliko apewe 150k per month bora akae nyumbani au bila kazi. Bila kujua pale sio tu anapata 150k but exposure ya mambo mbali mbali pamoja na ujuzi na kuaminika maeneo mbalimbali. Mtu kamaliza 2015 but cv yake inaonesha experience ni field peke yake. Why?
Anyway pia mimi ni jobless natafuta kazi yenye kipato kizuri wakuu 😎🙁
Nina Bachelor of Science in Applied Statistics.
na hizo ni za wachache sometimes za wenye watu wao. but sisi wengi lazima uanzie kutumwa maandazi na chai kwenye ofisi za watu japo kwa muda hata mwezi mmoja😂Mentality tuliyojengewa Toka vizazi na vizazi kua ukisoma baasi sharti upate Kazi ya tai shingoni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Inshort hautoshi kwa lolote na kwa chochote,Hivi unawezaje kuridhika na mshahara wa 150K per month na pia unaanzaje kukaa nyumbani come on fanya kazi kijana.
Hii yawahusu wasio na kaziMentality tuliyojengewa Toka vizazi na vizazi kua ukisoma baasi sharti upate Kazi ya tai shingoni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watu wanaishi na 100KTuache masihara how would you survive with 150k in a whole month?
We jamaa hesabu kali sana ila wengi hutembea miguu kwenda makazini150÷30=5-1000 ya nauli = 4000-1000ya chai =3000-1500 usiku mchana usile = 1500. - 500 vocha = 1000
Weka buku × 30=30000 × 12= 600000
Laki 6 kwa mwaka kamtaji kazuri tu hako..
Shida vijana starehe hawa