Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Nionyeshe wapi niliandilka kula bure au unaleta uwongo wa mtume wenu paulo. Unapo sema nilimanisha.kula bure wapi. Au nifikra zako unazigeuza ziwe fikra za wengine.Uliyoyaeleza yanamaanisha kula bure. Mbona unaniuliza tena ni wapi, ilihali wewe ndiye unayetaja.
Hizo ni propaganda za kuwaaminisha kuwa nchi ikiwa ya kiislamu maisha yanakuwa rahisi, ili mpiganie kuleta uislamu.
Halafu usichanganye mambo, Nchi ya kikristo ni moja tu duniani, Vatican.
Wewe ni mwarabu?Democracy ipi yakuwauwa watoto Gaza. Sa we mtoa mada nipe nchi gani ya kikristo ina Democracy.
Si bora hata hao warabu hawana Democracy lakini. Hospital bure, masomo bure, na wengi wao wanaishi kwenye majumba serekali zimewajengea, wengine hawalipi umeme, maji na wakichukua mikopo ya bank wanalipiwa sometimes. Nipe nchi ya kikristo yenye kufanya hayo.
Ni mwarabu koko wa Kimbiji.Wewe ni mwarabu?
Cha ajabu mleta mada kaongelea nchi za kiarabu halafu kitu jeusi linakuja kuingiza issue za uislamu!!!!Ni mwarabu koko wa Kimbiji.
Labda ukiangalia kwa jicho la kiislamu unaweza kuziona hizo hudumaHizo ni porojo tu za masjid, unataka kutuambia kwamba nchi kama Yemen, Lebanon, Syria, Iraq, Misri, Libya kuna huduma hizo unazoziongelea hapa..!!!
Akili yako haina tofauti na yule mpumbavu aliyesema KATIBA NI KIJITABU TU.Utajifananisha wewe mdemokrasia unayekula ugali na tembele lililokolea ndimu nyingi na mwarabu wa Qatar au UAE?
Dada zako kutoka Tanzania kila siku wanakimbilia Oman kwenda kuwa housegirls na ukahaba, Demokrasia imepunguzaje wimbi la wao kukimbilia huko?
Wahindi kutoka nchi ya demokrasia wamejaz ana Iran na Saudia Arabia utafikiri wako Delhi kutafuta kazi. Demokrasia imewasaidia nini?
Akili yako haina tofauti na yule mpumbavu aliyesema KATIBA NI KIJITABU TU.
Kwa kuwa China hakuna demokrasia basi essence ya taifa kuwa la kidemokrasia huioni sio?
Democrasia nani anaitafsiri?Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?
Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?
Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Wengi ni wangapiRaia walio wengi.
Sio lazimaRaia walio wengi ndio wanapaswa kuamua kati ya demokrasia au uimla.
Demokrasia ya Korea Kusini.Democracy ipi yakuwauwa watoto Gaza. Sa we mtoa mada nipe nchi gani ya kikristo ina Democracy.
Si bora hata hao warabu hawana Democracy lakini. Hospital bure, masomo bure, na wengi wao wanaishi kwenye majumba serekali zimewajengea, wengine hawalipi umeme, maji na wakichukua mikopo ya bank wanalipiwa sometimes. Nipe nchi ya kikristo yenye kufanya hayo.
NdiyoNi lazima raia kulipa kodi?