Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Kwamba nyumba yetu haina protocol maalum ya kufahamishana hali za kiafya za wanafamilia!
Mara ya mwisho wanafamilia kupata taarifa rasmi ni mwaka 2014 alipofanyiwa upasuaji JK. Tena mpaka vyombo vikubwa viliripoti.
Kwani viongozi wa kaya hawajui kwamba mficha maradhi kifo humuumbua?