Kwanini hakuna mpango wa maalum wa kujuza umma ikitokea kiongozi amepata maradhi?

Kwanini hakuna mpango wa maalum wa kujuza umma ikitokea kiongozi amepata maradhi?

Kwa watu wa kawaida, lakini sio mkuu wa nchi tulompa dhamana na mwenye kuishi kwa kodi zetu,lazima tujue aliko
Nenda kapange foleni hospital ukatibiwe gentleman, dhamana ya kuishi mwanadamu ni zawadi ya kutoka kwa Mungu pekee..

mengine ni useless tu 🐒
 
Tofautisha kuwa Senior au junior kwa majukumu, Mfano Dr. Kusiluka hiyo nafasi ya CS kwake ni junior au senior..
Na si tunasikia pale jumba la siri kuna mbadilishano mkubwa wa namba kwa kuwa kila DG amekuwa akija na mfumo wake, na kabla ya kujiimarisha anapokea barua ya kukabidhi kiti
 
Back
Top Bottom