Kwanini hakuna mpango wa maalum wa kujuza umma ikitokea kiongozi amepata maradhi?

Kwa saababu hakuna tarifa yoyote kumhusu yeyote kuwa anaumwa, basi pia hakuna maana ya kuuliza habari hizi

wewe ndo utuambie ni kwa namna gani unampenda mno huyo unayemuulizia
 
Kwamba nyumba yetu haina protocol maalum ya kufahamishana hali za kiafya za wanafamilia!

Mara ya mwisho wanafamilia kupata taarifa rasmi ni mwaka 2014 alipofanyiwa upasuaji JK. Tena mpaka vyombo vikubwa viliripoti.

Kwani viongozi wa kaya hawajui kwamba mficha maradhi kifo humuumbua?
Confidential, huyo ni kiongozi wa nchi so kuna vitu vitawekwa wazi but not everything. Vingine ni kwa usalama wake
 
Kwamba nyumba yetu haina protocol maalum ya kufahamishana hali za kiafya za wanafamilia!

Mara ya mwisho wanafamilia kupata taarifa rasmi ni mwaka 2014 alipofanyiwa upasuaji JK. Tena mpaka vyombo vikubwa viliripoti.

Kwani viongozi wa kaya hawajui kwamba mficha maradhi kifo humuumbua?
Cuban marimba
 
Mi nachowaza hivi Rais wangu Kikwete walipimaje na kugundua kuwa ana tezi dume? Walipimaje na kugundua size iliyofikia hadi wakapanga wampasue?

Hii kitu inanifikirisha sana yaani
 
ni nani aliwafahamisha umma na vyombo vya habari?

alifanya hivyo kabla ya matibabu au baada?

alieleza kugundua tatizo tangu lini na akatibiwa lini?

Afya ni suala binafsi hata kama ni la kiongozi wa umma 🐒
Hata kwa Yule bwana ilikuwa hivi hivi,,,,uongo uongo mwingiiiii,,,, mwisho wa siku,,,kikaumana.

yetu macho na masikio…🤐🤐🤐🤐🤐
 
ni nani aliwafahamisha umma na vyombo vya habari?

alifanya hivyo kabla ya matibabu au baada?

alieleza kugundua tatizo tangu lini na akatibiwa lini?

Afya ni suala binafsi hata kama ni la kiongozi wa umma 🐒
WEWE kweli ni BWABWA!!!
 
Watu wa usalama kwa sasa wengi ni under age..kutojali, ubinafsi, ujinga, kiburi vimefanya kazi inayopaswa kufanywa na watu wazima wanaofahamu kuwa binadamu nini maana yake..vimetengeneza ufa wa under age kufanya kazi za usalama! si kosa lao lkn..tutafute mchawi aliyesababisha usalama kuwa na under age wengi.
Tangu nafasi zilipoanza kutolewa kwa kulipa hisani ya CCM mambo yakaharibika!
 
Kwamba nyumba yetu haina protocol maalum ya kufahamishana hali za kiafya za wanafamilia!

Mara ya mwisho wanafamilia kupata taarifa rasmi ni mwaka 2014 alipofanyiwa upasuaji JK. Tena mpaka vyombo vikubwa viliripoti.

Kwani viongozi wa kaya hawajui kwamba mficha maradhi kifo humuumbua?
Swali je tezi dume unaweza fanyiwa operation zaidi ya mara moja?
 
Back
Top Bottom