Daddy napendaga ubuyuTaarifa kamili ni baada ya mbuyu kuanguka, kwahy subiri
Ndiyo.Maradhi mengine ni siri. Yaani kabisa unataka uambiwe Amiri ana bawasiri😳
ni nani aliwafahamisha umma na vyombo vya habari?Kwamba nyumba yetu haina protocol maalum ya kufahamishana hali za kiafya za wanafamilia!
Mara ya mwisho wanafamilia kupata taarifa rasmi ni mwaka 2014 alipofanyiwa upasuaji JK. Tena mpaka vyombo vikubwa viliripoti.
Kwani viongozi wa kaya hawajui kwamba mficha maradhi kifo humuumbua?
Njoo uchukue nmeupakaza kwenye mashine yanguDaddy napendaga ubuyu
Sio kweli hoja yako under age wengi ni field officer sio senior officerWatu wa usalama kwa sasa wengi ni under age..kutojali, ubinafsi, ujinga, kiburi vimefanya kazi inayopaswa kufanywa na watu wazima wanaofahamu kuwa binadamu nini maana yake..vimetengeneza ufa wa under age kufanya kazi za usalama! si kosa lao lkn..tutafute mchawi aliyesababisha usalama kuwa na under age wengi.
Tofautisha kuwa Senior au junior kwa majukumu, Mfano Dr. Kusiluka hiyo nafasi ya CS kwake ni junior au senior..Sio kweli hoja yako under age wengi ni field officer sio senior officer
Hivi ataweza harakati za kampeni au itakuwa ni spana mkononi, field, gereji?Kwamba nyumba yetu haina protocol maalum ya kufahamishana hali za kiafya za wanafamilia!
Kwani viongozi wa kaya hawajui kwamba mficha maradhi kifo humuumbua?
Ukiona hivyo ujue yawezekana wengi ni watoto,mashemeji,binamu nk wa vigogo.Watu wa usalama kwa sasa wengi ni under age..kutojali, ubinafsi, ujinga, kiburi vimefanya kazi inayopaswa kufanywa na watu wazima wanaofahamu kuwa binadamu nini maana yake..vimetengeneza ufa wa under age kufanya kazi za usalama! si kosa lao lkn..tutafute mchawi aliyesababisha usalama kuwa na under age wengi.