Kwanini hakuna mpango wa maalum wa kujuza umma ikitokea kiongozi amepata maradhi?

Kwa saababu hakuna tarifa yoyote kumhusu yeyote kuwa anaumwa, basi pia hakuna maana ya kuuliza habari hizi

wewe ndo utuambie ni kwa namna gani unampenda mno huyo unayemuulizia
 
Confidential, huyo ni kiongozi wa nchi so kuna vitu vitawekwa wazi but not everything. Vingine ni kwa usalama wake
 
Cuban marimba
Your browser is not able to display this video.
 
Mi nachowaza hivi Rais wangu Kikwete walipimaje na kugundua kuwa ana tezi dume? Walipimaje na kugundua size iliyofikia hadi wakapanga wampasue?

Hii kitu inanifikirisha sana yaani
 
ni nani aliwafahamisha umma na vyombo vya habari?

alifanya hivyo kabla ya matibabu au baada?

alieleza kugundua tatizo tangu lini na akatibiwa lini?

Afya ni suala binafsi hata kama ni la kiongozi wa umma πŸ’
Hata kwa Yule bwana ilikuwa hivi hivi,,,,uongo uongo mwingiiiii,,,, mwisho wa siku,,,kikaumana.

yetu macho na masikioβ€¦πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
 
ni nani aliwafahamisha umma na vyombo vya habari?

alifanya hivyo kabla ya matibabu au baada?

alieleza kugundua tatizo tangu lini na akatibiwa lini?

Afya ni suala binafsi hata kama ni la kiongozi wa umma πŸ’
WEWE kweli ni BWABWA!!!
 
Tangu nafasi zilipoanza kutolewa kwa kulipa hisani ya CCM mambo yakaharibika!
 
Swali je tezi dume unaweza fanyiwa operation zaidi ya mara moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…