secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Everything is for sale but for the right priceHivi kwanini CHADEMA mnanunulika kirahisi kiasi hicho? Hivi kuna mtu ndani ya CHADEMA anaweza kusema hanunuliki? Mpaka Mdee kweli? Hakuna chama hapo
Wanaita kuua ndege wawili na jiwe moja.Ushauri tu Kwako jifunze Kututenganishia pale unapojibu Hoja au kutoa Hoja zako ambazo huwa ni nzuri na Kututangazia Biashara yako ya Vitabu.
Kwanini yule mbunge kenan hamjafukuza?? Kwanini mnawakomalia Hawa kina Halima?
Kwani Mdee ndiye analipa,vyama visivyokuwa na wabunge vinajiendesha vipi?.Then ela ya kulipa wafanyakazi wa chama utatoa ww?
Ela ya kulipa kodi za Vyumba vya office utalipia ww?
😂😂😂😂Kitabu namba mbili unauza million na laki saba Kwa nakala?Au umekosea??
Wagombea ubunge wanawake wote ambao waligombea majimbo pia waligombea viti maalum so ni wale wale tuKwa hiyo Halima alijivisha u-katibu mkuu na u-kamati kuu.
Kwa kadri ninavyofahamu yalikuwepo majina ya waliogombea viti maalum kabla,sio hawa viongozi wa Bawacha.
Hali ya hivyo vyama si umeona?Kwani Mdee ndiye analipa,vyama visivyokuwa na wabunge vinajiendesha vipi?.
Yericko ni hovyo , anasema mpango huu waliujua before Kuhusu halima na hence lake , walifanya nini baada ya hapo kuepusha taharuki hii?Well said kiongozi
Mdee alikuwa mjumbe wa kamati kuu iliyofikia maamuzi ya chama kuhusiana na mambo ya uchaguzi
Kujua mpango na kuwa na ushahidi wa kutosha kufanya maamuzi ni vitu viwili tofauti, unaweza kuleta mgogoro mwingine mkubwa zaidi kama huna evidence ya kumtia mtu hatianiYericko ni hovyo , anasema mpango huu waliujua before Kuhusu halima na hence lake , walifanya nini baada ya hapo kuepusha taharuki hii?
wameshachelewa!Hiki chama kinameguka taratibu...
CCM wajanja sana aisee, wanatumia kila tactics kuung'oa upinzani na kwa asilimia 70% wamefanikiwa...
Divide and conqur
Kumuonyesha adui kuwa unajua njama sake pia kuna mawiliKujua mpango na kuwa na ushahidi wa kutosha kufanya maamuzi ni vitu viwili tofauti, unaweza kuleta mgogoro mwingine mkubwa zaidi kama huna evidence ya kumtia mtu hatiani
Kampe Jiwe huo ushauri achana na CDM .Nyerere ifike hatua chadema lazima mji tambue na mfanye siasa Kutokana na Hali ya wakati uliopo
Hayo madai yenu Hayana msingi bcoz Mnadai kwa faida yenu wanasiasa na sio faida ya wananchi
Hivi kwa akili yako unadhan jpm atarudia uchaguzi? Kwa akili yenu Kuna katiba mpya hapa soon?
Nyie mkiambiwa lipieni uchaguzi hizo ela mnazo?
Mnaacha kujijenga kwa miaka mitano hii nyie kila siku ni tume Mpya na katiba mpya utadhan hakuna kitu kingine Cha serikali kufanya zaid ya kuwasikiliza nyie tu
Kama kweli mnahoja si muende ikulu pale mkadai hiyo katiba mpya mbona unaongea ukiwa zako umekaa kigamboni huko
Kumuonyesha adui kuwa unajua njama sake pia kuna mawili
1- akabadili mawazo (mbinu)
2- akafanya kwa muda ambao haukutarajiwa ( kwaharaka zaidi)
Swali ni je wap walipo Ona viashiria hivi ,nini ili kuwa plan B yao kama yangelitokea haya
Sasa ni kitu cha ajabu kwa viongozi wakuu kuwa surprised kama sisi tulip nje ya mfumo wa chama