Kwanini Halima Mdee na wenzake ni lazima wafukuzwe?

Umeandika kweli. Watu wanasahau kuwa hata kwenye biblia Yesu Kristu ilikua lazma asalitiwe afe ndy afufuke wengine wakombolewe!! Kuogopa 19specimen eti Chama kuperish ni kukosa ujasir. Futilia mbali hizo specimen ili kujenga Imani miongoni mwa millions of followers. Kamati kuu tendeni lililojema kuabolish utamaduni wa usaliti mbele ya safar ya kisiasa Chamani!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ni vyema kujadili hoja zako tukiwa sober na tukizingatia historia ya harakati za kisiasa Tanzania.

1. Hizo dalili za serikali kutaka maridhiano ni zipi?
2. Serikali ya magharibi zilishatambua hii serikali na ndio maana walishiriki uapisho wa rais.
3. EU haijaweka vikwazo vyovyote Tanzania. Na hata hao wote hawawezi wekea vikwazo sababu kuu hakuna maslahi yao yaliyohatarishwa. Wazungu hawaweki vikwazo kisa tu CCM imeiba kura.
3. Historia. Unachosahau (najua ni kwa makusudi kabisa), huu ni mgogoro uliotengenezwa kwa makusudi kabisa na dola. Na unajua dola wanapoamua hatima yake huwaje. Rejea NCCR na CUF.
 
Kenan ni viti maalum?
Amechaguliwa lakini CHADEMA si inasema haikubalian na uchaguzi? Kama haikubali uchaguzi maana yake ni kwamba hata yeye alitakiwa Basi aitwe,, unadhani uongozi wa chadema haujawabariki kina Halima?? Kamati kuu mbona haijakaa??? Kama imekaa imekaa wapi na inaongozwa na Nani?? MWISHO WA SIKU UKUMBUKE KUNA KITU INAITWAGA RUZUKU
 
Wala sintakaa niwalaumu hao wanawake maana sijui waliyopitia, ninawalaumu viongozi wao na wanaowashambulia Kama vile hawana uchungu nao hivi taa nyekundu zilizowashwa Kuna wakuwalaumu hao wanawake kweli? Kama mnauchungu kweli Sasa hivi mngeshawaepusha na yanayowasibu , siyo msubiri habari ya tone la damu eti unatetea chama, hao wanawake wanatakiwa kutetewa na Kila mtu anajali usalama wao maana hatujui waliyopitia mpaka kufanya hivyo.
 
Nadhani unaelewa kwamba kuwa na wabunge hakukuongezei ruzuku labda wingi wa kura za urais.
CHADEMA wanakata wabunge wao 1.5 kila mwezi hapo ni nje ya michango
 
Hizo ni blah blah tu
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia kubwa sana!
 
Mliingia kwenye UCHAGUZI Bila tume huru mkitaraji kuna wananchi wenye kujitoa muhanga.

Leo mmegundua wanachi waoga wa virungu mnahitaji TUME HURU baada ya kupigwa NA GREEN.

BIASHARA YA UANDISHI INAKUFAA SANA NDUGU YERICKO
 
Maandamano ya kupinga Mdee mnaenda ila ya kupinga matokeo kila mtu anakaa jf tu

Wapi umeona watu wanaenda kwenye maandamano ya kumpinga Mdee? Na maandamano ya kupinga uchaguzi kila mtu aliogopa kupoteza maisha yake na wala sio kuridhika na kilichotokea?
 
Mdee inawezekana atakuwa kapewa mlungula mrefu.
Mrefu sana mzee kweli kila mtu ana bei yake. Na Ccm walivyowajanja usikute yule bulaya aliolewa makusudi toka TISS Kuja kumaliza na mdee kamaliza kazi dah hata mdee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…