Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mimi sina muumbaji na dunia Haina muumbaji.Hahaaaaaa naona unaendeleza ubishi. Hilo suala la kila kitu lazima kiwe na muumbaji kimetoka wapi? Unajua maana ya uumbaji mkuu? Wewe Muumbaji wako ni nani?[emoji20][emoji38][emoji2][emoji1] nyie jamaa mnalazimisha ubishi kwa hoja za kubumba bumba.
Huwezi pata majibu kwakua dini tuliletewa na hizo biblia ndio kabisaaa hakuna mtz alieandika hata moja. Labda hayo maswali uwaulize wazungu wanaweza jibuHabari zenu,
Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:
"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."
Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Soma Biblia Mwanzo 5:1 - 7Habari zenu,

Wewe ni maamuna ni empty kabisa kichwani mwako. Ungekuwa mwanangu nisingekupeleka shule. Ungekuwa unachunga ng'ombe tu. Yaani hujui ili kitu kiwe na mwanzo ni lazima kiwe na time limit mkuu? Hivi wanasayansi wanaposema umri wa dunia miaka....... wana maana gani kama sio kina limit ya muda? Nimekudharau dogo.Kama si lazima kwamba kila kitu kiwe na Muumbaji wake, Hata Dunia si lazima iwe na Muumbaji wake.
Hakuna ulazima wa kwamba Dunia ina mwanzo wake.
Wazungu tupo nao kila siku mkuu wanatushangaa jinsi tulivyo na hizo imani .Huwezi pata majibu kwakua dini tuliletewa na hizo biblia ndio kabisaaa hakuna mtz alieandika hata moja. Labda hayo maswali uwaulize wazungu wanaweza jibu
Ila una mwanzo na dunia ina mwanzo kwani una "time limit" mkuu? Je umetokea wapi kabla ya usiku ule wa tendo la Baba na Mama yako? Je nini kilisababisha manii ya mshua wako zikuzae wewe na kama sayansi inasema mwanaume anatoa millions of Mbegu? Kwanini mbegu iliyokubeba wewe ikafertilize yai la mama yako na sio hizo mbegu nyingine za Baba yako?😆😆😆😆😆Mimi sina muumbaji na dunia Haina muumbaji.
We upo empty? Walikuwa wako mkuu. Unanimalizia chaji ya simu kwa maswali ya kitoto na kipuuzi.Kwani hao watoto wengine wanaosema walizaa na Kaini walikuwa wa nani ????
Usiruke ruke twende taratibu dogo. Unaelewa nini maana ya uso wa Mungu? Ungekuwa hujui maana ya Mungu asingeandika kuhusu yeye.Uso ni nini?
Mungu ni nini?
Tuanzie hapa kwanza.
Ndio ujue dini ni ka scam flani waliamua kutuletea na sisi tukapokea kwa pupa hatuelewi mbele wala nyumaWazungu tupo nao kila siku mkuu wanatushangaa jinsi tulivyo na hizo imani .
Yes ,well said hakuna mungu,ila Mungu yupo.hahaa,
mimi nilitumia saivi naamini hakuna mungu😂
we haya
Kwahiyo watoto wa Adamu wa kike walizaa na Kaini?? Kama hivyo kwann hairusiwi kuzaa na ndugu yako
jo we mbona mchokozi😂Yes ,well said hakuna mungu,ila Mungu yupo.
Sawa. Hivi jua linazama kwenye matope?Eti wanyama wote Waliingia wawili wawili kwenywe safina , hii story na ya uwanja wa ngoma ya ngozi ya ng'ombe ya juma na uledi inatofauti gani?
Umeletewa na nani na mzungu gani? Mbona unajitoa ufahamj Jerry? Yaani unashindwa tofautisha kati ya Wazungu(Race and Culture) na Ukristo(Imani). Mbona ipo wazi na vitabu vingi vinaelezea. Ethiopia haijawahi kuwa colonized na wazungu ila Biblia ya kwanza na ya kale ipo pale. Je wazungu walipelekaje hiyo Biblia pale kama wao ndio wametuletea?Huwezi pata majibu kwakua dini tuliletewa na hizo biblia ndio kabisaaa hakuna mtz alieandika hata moja. Labda hayo maswali uwaulize wazungu wanaweza jibu
...tafuta sehemu iliyoandikwa,"na tumfanye mtu kwa mfano wetu.......Habari zenu,
Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:
"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."
Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Amekuletea nani? We nenda kule kwenye jukwaa la MMU huku unaonesha tu uchi wa akili yako mbele za watu. Huu uzi upotezee mkuu.Ndio ujue dini ni ka scam flani waliamua kutuletea na sisi tukapokea kwa pupa hatuelewi mbele wala nyuma
Kabsa Mkuu na dunia nzima ni sisi peke yetu hatuna taratibu zetu na mila zetu.Ndio ujue dini ni ka scam flani waliamua kutuletea na sisi tukapokea kwa pupa hatuelewi
Utopolo huko ni mwingi Acha tu.Sawa. Hivi jua linazama kwenye matope?
Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Hapana, Mwanzo-kutoka vyote ni Hadith za kutungwa na Musalakini uhalisia ni kwamba kuanzia mwanzo 1-11 ni hadithi za kutungwa, sema hii itakua ngumu kwa wanaoamini kuelewa