La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,049
- 1,160
Jibu ni SIMPLE tu mpenzi, biblia haijaandikwa kwenye chronological order,ukienda mbele kidogo utaona Adam alizaa wana wake kwa waume, it is obvious mwanzoni walikuwa wakioana ndugu mpaka pale alipokuja kuwazuia kwenye mambo ya walawi
2.Wana wa kike walikuwa hawahesabiwi ndio maana unaona sehemu nyingi zinazungumzia wana wa kiume tu....Shalom
2.Wana wa kike walikuwa hawahesabiwi ndio maana unaona sehemu nyingi zinazungumzia wana wa kiume tu....Shalom