Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Uhindu una miungu wengi,mmoja wapo ng'ombe,asubuhi wahindi hunywa mkojo wa ng'ombe na mavi yake kidogo,Wala hawaamini juu ya Mungu mmoja Wala siku ya mwisho,so watoke kwenye equation,siwezi kuwa mhindu,hata wazazi wangu wangekua wakiristo,ningesilimi tu,sababu huwa sifati mkumbo,hata hivyo hili haliwezi kuwa dalili kuwa Mungu hayupo Bali yupo ndiyo maana makundi tofauti wanamgombea huyo Mungu..hivyo tofauti haiwezi kuwa hoja ya kutokuwepo Mungu
Mungu mkuu ni brahma acha kujikosha...na yeye ndo kaumba mbingu na nchi...😂muabudu yeye bac
 
Walikuwa mapacha, soma lost books from Bible, utajua mengi
Tumewaeleza jamaa wanakaza fuvu na kuongeza ubishi tu. Mbona ipo wazi, jamaa Adamu na uzao wake qaliishi miaka 900's na walizaa wana wa kike na kiume. Biblia isingetisha kutaja uzao wote wa Adam au wanadamu wote waliozaliwa au kuishi duniani. Eti nimeona mwingine anasema mbona hakuna sehemu kwenye Biblia wamemtaja Dinosaur 🦕 mnyama mkubwa kuumbwa? Tukamjibu, mbona hawajataja Sisimizi mnyama mdogo? Eti kutotajwa kwa Dinosaur kwenye Biblia basi biblia ni uongo.

Suala la mke wa kaini Mbona lipo wazi. Biblia inasema Adam alizaa "wana wa kike na kiume" katika hao wana wa kike na kiume wametajwa watatu tu. Kaini, Abel na Seth. Kwanini hawahoji kuhusu hao wengine. Biblia katika mwanzo 6 inasema Wana wa Mungu walikuja duniani kuoa wana wa Wanadamu baada ya kuzaa mabinti na kuongezeka. Inamaana gani, wanawake waliozaliwa na Adam na uzao wake walikuwa wengi.

Baadhi ya vitabu nje ya Biblia vinataja baadhi ya watoto wawili wa Kike wa Adam akiwemo AWAN aliekuwa mke wa Kaini.
 
😂😂😂😂So ajifanye zuzu ili aelewe biblia. Skia we tulia, ukishatulia niambie watu gani walienda kwenye kaburi la Yesu na waliona nani na nani? Ukitoka hapa soma kwa kutulia sijui kiroho uniambie baba yake Joseph mzaa Yesu ni nani? Halafu uniambie safina ilikaa kwa miezi mingapi na wanyama waliingia wawili wawili au Saba Saba? 😂😂Kuna contradictions nyingi anza na hizo. Afu uniambie mtu mmoja anakuaje watatu afu anajiongelesha
Kwa jinsi ulivoandika sitapoteza muda kukujibu maswali yako japokuwa majibu yapo, unaonekana tayar ushajiamulia kichwani mwako kwamba mungu hayupo.
Bac mungu hayupo, endelea kuamini hio bing bang theory.
 
Tumewaeleza jamaa wanakaza fuvu na kuongeza ubishi tu. Mbona ipo wazi, jamaa Adamu na uzao wake qaliishi miaka 900's na walizaa wana wa kike na kiume. Biblia isingetisha kutaja uzao wote wa Adam au wanadamu wote waliozaliwa au kuishi duniani. Eti nimeona mwingine anasema mbona hakuna sehemu kwenye Biblia wamemtaja Dinosaur 🦕 mnyama mkubwa kuumbwa? Tukamjibu, mbona hawajataja Sisimizi mnyama mdogo? Eti kutotajwa kwa Dinosaur kwenye Biblia basi biblia ni uongo.

Suala la mke wa kaini Mbona lipo wazi. Biblia inasema Adam alizaa "wana wa kike na kiume" katika hao wana wa kike na kiume wametajwa watatu tu. Kaini, Abel na Seth. Kwanini hawahoji kuhusu hao wengine. Biblia katika mwanzo 6 inasema Wana wa Mungu walikuja duniani kuoa wana wa Wanadamu baada ya kuzaa mabinti na kuongezeka. Inamaana gani, wanawake waliozaliwa na Adam na uzao wake walikuwa wengi.

Baadhi ya vitabu nje ya Biblia vinataja baadhi ya watoto wawili wa Kike wa Adam akiwemo AWAN aliekuwa mke wa Kaini.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Miaka 900 so Adam ni zombie...hivi wewe...mzungu kakuletea tu kitabu kakutishia tu moto ndo akili zimeruka hivi
 
Kwa jinsi ulivoandika sitapoteza muda kukujibu maswali yako japokuwa majibu yapo, unaonekana tayar ushajiamulia kichwani mwako kwamba mungu hayupo.
Bac mungu hayupo, endelea kuamini hio bing bang theory.
😂😂😂😂Mungu kuwepo ni swala moja....biblia kuwa neno la Mungu ni swala lingine...,😂usilinganishe hivi vitu sawa
 
Wewe unaye jua Mungu huyo yupo,

Thibitisha na eleza ulifahamu vipi Mungu huyo yupo?

Kama tuna ukomo wa kufikiri, Aliye sema Mungu yupo yeye aliwezaje kufahamu hilo?

Kwani kabla ya kuzaliwa kwako ulikuwa wapi?

Na ilikuwaje huko ulipokuwa kabla hujazaliwa?

Human beings created God through assumptions Based on things beyond their imaginations.

Man created God.

Mungu ni dhana ya kufikirika isiyo kuwepo, Imagination just an illusion.
Haya maswali ndo yale ya kuku na yai.Mimi najua Mungu yupo kwasababu hakuna kitu kisicho na chanzo cha kuwepo na sababu ya kuwepo.Kwahiyo hakuna kitu kilichotoka from no where.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Misri gani ambako haiko?.Ata tanganyika ina historia yake ya uko nyuma lakini huwezi kuipata kirahisi sana sana utakutana na historia ya juzi ya wakoloni.kwahiyo inategemea unataka kujua nini.

Sent using Jamii
Wewe unaijua misri ipi
 
Idadai ya Waisrael wakati wanatoka utumwani Misri kwenda Nchi ya Kaanani, walikuwa watu laki 6, bila kuhesabu wanawake na watoto
Yesu aliwalisha kwa samaki mmoja na mikate mitano watu elfu tano, bila kujali wanawake na watoto
Sijui kama nitakuwa nimejibu swali lako
Biblia ilikuwa haihesabu wanawake.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Miaka 900 so Adam ni zombie...hivi wewe...mzungu kakuletea tu kitabu kakutishia tu moto ndo akili zimeruka hivi
Kwani shida nini kuishi miaka 900 mkuu? Mzungu gani kaniletea kitabu? Nikufundishe leo.

Mimi ni Mkristo na Ukristo Afrika wala duniani haukuletwa na mzungu we Pimbi. Toka enzi kanisa lilikiwa na kila race. Kulikiwa na ngozi nyeusi akina Niger na Simoni Mkananayo. Mitume wa mwanzo wa Yesu walikuwepo kila race tena baadhi ya vitabu vinaeleza hao mitume kuja Africa na kufia Afrika. Ukristo ulikuwepo Afrika hata kabla ya kuja Wamisionari. Mitume akiwemo Yuda alikuja Afrika na kuanzisha Kanisa pale Ethiopia na kufia pale kabla ya Ukoloni na hao wamisionary mnaowasoma kwenye Historia. Pia sijui uwezo wako wa kuchanganua mambo umeuweka.wapi? Kwanini hujui kutenganisha kati ya uzungu na wazungu(Race and Culture) na Ukristo(Imani takatifu tukitokabidhiwa mara moja)
 
😂😂😂😂Mungu kuwepo ni swala moja....biblia kuwa neno la Mungu ni swala lingine...,😂usilinganishe hivi vitu sawa
Na wewe huamini vyote sio??

Mbona hamwongelei utabiri wa kutisha uliopo kweny biblia?? Isaya na Daniel walitabiri wafalme na Falme zitakazo kuja kutawala dunia na imetokea kama walivoandika hadi wanahistoria wanashangaa, au waliandika tuu kwa bahati mbaya yakaja kutokea kweli?
 
Ungeisoma kwanza biblia ndio ukaja na maswali.Kama hujaisoma ata ukiambiwa utazalisha tu maswali ambayo hayatafikia muafaka.Biblia sio sawa na moja jumlisha moja kwasababu imeandikwa na waandishi wengi kwa nyakato tofauti tofauti japo lengo ni lile lile.Siko kwenye mazingira mazuri yakukujibu ila kama unataka kujua majibu tafuta biblia uisome.

Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia nimeisoma kuliko hata wewe unaye jifanya kuijua sana Biblia.

Biblia imejaa Contradiction nyingi sana na logical fallacies.

Biblia inaji Contradict yenyewe kwa yenyewe...

Na kuwekea uthibitisho wa mojawapo ya Contradiction zilizopo kwenye Biblia..[emoji116]

Kutoka 33:20 inasema, "Hakuna MTU yeyote anayeweza kumuona Mungu akaishi"

Hapohapo

Kutoka 33:11 inasema, "Musa alimuona Mungu na akaendelea kuishi"

Tayari Exodus 33:11, ina pingana na Exodus 33:20.

Tukisema kwamba Biblia ni andiko la kutungwa sawa na Hekaya za Abunuwasi muwe mnaelewa.[emoji116]
Screenshot_20231026-163258_1.jpg
Screenshot_20231026-163120_1.jpg
 
Mzee sariboko, sadiki na chitemo, lindu ampiga kampilima , hawafu mwenye nguvu na mutegeki na nyembo.
Safari ya Bulicheka kwenye nchi ya Wagagagigikoko, Alfu Lela Ulela, Machaku na Njiwa, Adili na Nduguze, nk
 
Back
Top Bottom