Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Ungeisoma kwanza biblia ndio ukaja na maswali.Kama hujaisoma ata ukiambiwa utazalisha tu maswali ambayo hayatafikia muafaka.Biblia sio sawa na moja jumlisha moja kwasababu imeandikwa na waandishi wengi kwa nyakato tofauti tofauti japo lengo ni lile lile.Siko kwenye mazingira mazuri yakukujibu ila kama unataka kujua majibu tafuta biblia uisome.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Tumesoma na tumeona ni upuuzi ndo maana tunakuambia...na biblia kutoeleweka sio shida yangu...unaandika ujumbe unaoeleweka sio unacheza kombolela na watu
 
😂😂😂😂We unasema dini yako ya kweli coz umezaliwa kwenye hii dini ya wazazi wako ..that's not logical.. ungezaliwa kwa wahindu ungekuwa Mhindu..so unajuaje dini ya wazazi wako ni dini sahihi na ya muumba na sio zingine...coz dini zote duniani zinampachika Mungu wao hizi kazi
Uhindu una miungu wengi,mmoja wapo ng'ombe,asubuhi wahindi hunywa mkojo wa ng'ombe na mavi yake kidogo,Wala hawaamini juu ya Mungu mmoja Wala siku ya mwisho,so watoke kwenye equation,siwezi kuwa mhindu,hata wazazi wangu wangekua wakiristo,ningesilimi tu,sababu huwa sifati mkumbo,hata hivyo hili haliwezi kuwa dalili kuwa Mungu hayupo Bali yupo ndiyo maana makundi tofauti wanamgombea huyo Mungu..hivyo tofauti haiwezi kuwa hoja ya kutokuwepo Mungu
 
Basi, imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni uhakika wa mambo tusiyoyaona.
Now faith is confidence in what we hope for and assurance about what we do not see
Na pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu kwa maana kila mtu anayemjia ni lazima aamini kuwa yupo na kwamba yeye huwapa tuzo wale wanaomtafuta kwa bidii.
And without faith it’s impossible to please God; for those who come to worship God must believe that he really does exist, and that he rewards those who seek Him. (Heb 11:1,6)
 
Enzi hizo wanawake walikuwa hawahesabiwi, hata mtu akiwa na watoto kumi tisa wanawake alikuwa anahesabiwa ana mtoto mmoja. Hivyo watoto wa kike walikuwepo.
Habari hiyo umeitoa wapi, ilhali kwenye bible haikuandikwa?
Tukubali tu hichi kitabu kinamakosa ndani yake.
Ni bora umsome shigongo kuliko hicho kitabu.
 
Walikua hawatembei msafara moja kwa moja kama unavyofikiri.Ungekua una nia yakuelewa ungepata majibu ila kwavike nia yako nikuonyesha makosa inakua haina haja yakukuelimisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile story ya kutungwa acha ubishi...watu wameenda kuchimbua hamna hata kikombe pale Wala mifupa ya watu na watu walipita miaka 40 kweli upo serious ...😂😂😂Hizi katuni bro
 
Basi, imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni uhakika wa mambo tusiyoyaona.
Now faith is confidence in what we hope for and assurance about what we do not see
Na pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu kwa maana kila mtu anayemjia ni lazima aamini kuwa yupo na kwamba yeye huwapa tuzo wale wanaomtafuta kwa bidii.
And without faith it’s impossible to please God; for those who come to worship God must believe that he really does exist, and that he rewards those who seek Him. (Heb 11:1,6)
😂😂😂So anacheza kombolela.... afu anapiga chupa.. tunaanza upya
 
No,siyo tufanye,ni kwamba huna hoja,na ni kweli huwezi sema wewe na ng'ombe unayemla supu mmetokea wapi,au unaweza!?
😂Kutojua doesn't mean god did it...ukishaelewa hivi bac...watu walisema mvua ni maji kutoka mbinguni yanamwagwa na Mungu mbona Leo Hadi watoto wa primary wanajua how rain is formed hili Chaka la kumficha Mungu linazidi kupungua day by day tu
 
😂😂😂Waislamu vitisho vingi....Mara ukiondoka uislamu unachinjwa...Mara moto wao cjui wameuelezea Kama unapikwa...Mara adhabu kaburini...Mara cjui malaika atakuuliza kiarabu...Mara cjui majini...😂imewekwa in a way ni vigumu Sana kutoka coz of uwoga...
Sio kweli kuhusu suala la vitisho mimi ninachoona uislamu ni imani iliyo na misingi imara kiasi kwamba misingi iliyojiwekea inazidi kila kukicha kuvuna waumini kutoka dini tofauti
 
Acha waziamni tu ukiona wana vichwa vigumu zisome kwa undani fungua kanisa piga pesa kondooo ni wengi.
Labda nilikuwa mbali na simu. Hoja yako ni ipi bro? Mbona mambo yapo wazu na yanaeleweka tu, mbona unakaza Fuvu humu bila sababu? Nini hasa shida yako nikujibu?
 
Daah mkuu mbona unauliza hilo swali jepesi sana,nitakujibu kama mtaalamu wa maandiko ya kale
Biblia ni torati iliyoandikwa na wayahudi na wayahudi wa kale walikua hawahesabu watoto wa kike kwenye kitabu cha torati,mpaka itokee sababu kama ya watoto wa yakobo na dada yao,au absalom na dadake Tamari.
Adamu wa kwenye torati alizaa na watoto wa kike na walioana na kaka zao.Soma kitabu cha Enoko mkuu ujue vizazi vya huyo adamu..
NB: SOMA KITABU CHA ENOKO KWENYE TORATI YA WAYAHUDI UMJUE ADAMU
Why Mungu aruhusu ubaguzi wa kijinsia katika kitabu chake takatifu
 
Back
Top Bottom