Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Leo hii watu wanaenda mwezini mbona hawamfikii huyu Mungu...sembuse ghorofa... afu eti lugha. Burj khalifa imejengwa na watu wa mataifa na lugha tofauti na limesimama...😂yaani genesis nzima ni kama animation tu
Kusadikika mkuu ukihoji utasikia kiburi ni hiyo pumzi uliyo nayo mara kwa vile una afya na blabla nyingi za vitisho.
 
Kutoka misri mpka Israel ni km 623, ila musa na genge lake walitembea miaka 40, wastani wa km 15 kwa mwaka ,sawa na km 125 kwa mwezi, saw na mita 42 kwa siku sawa na uwanja wa mpira wa miguu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Asee ifike mahala hizi stori tuache kuziamini mzeeee
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Mambo mengi duniani ni pasua kichwa kama suala la kuku na yai nani alitangulia
 
Huyo Mungu na yeye alitokeaje?

Hivi na wewe unafikiri sawasawa kweli?

Kama huwezi kwenda mfugale, na useme imejitengeneza yenyewe kwamba lazima awepo mtengenezaji,

Basi hata huyo Mungu HAWEZI kutokea tu from no where, Mungu huyo Lazima awe na mtengenezaji wake.

Na watengenezaji Endless, ili pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu pasipo mtengenezaji.
Wewe kutokumjua mtengenezaji wa Mungu haimaanishi kwamba Mungu hayupo.Inawezekana hatujui kwasababu ya ukomo wa uwezo wetu wakufikiri.Kama huwezi kujua ukisha kufa unakuaje basi jua upeo wako una kikomo.Tunajua kifo kipo kwasababu tunaona vitendo vyake je baada ya kufa inakuaje ilo hatujui,hali kadhalika kwa Mungu ni hivyo tunaamini yupo kwasababu ya vitendo ila zaidi ya hapo kuhusu yeye tuko gizani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjadala kwa wasiofikiri ndo unakuwepo,huwezi kwenda mfugale interchange,ukute site za kupitia na taa za kuingozea magari halafu useme mfugale imetokea tu hakuna aliyeiplan na kuijenga
😂😂😂Hii argument ya kitoto sana
1. Kuna wajenzi tunawaona kila siku
2. Mungu kajengwa na nani?
3. Hata Kama Kuna Mungu au muumba, unajuaje ni wa dini yako?
 
😂😂😂Hii argument ya kitoto sana
1. Kuna wajenzi tunawaona kila siku
2. Mungu kajengwa na nani?
3. Hata Kama Kuna Mungu au muumba, unajuaje ni wa dini yako?
Kumbe wa dini ipi!?..maana kwa mfano Mungu wa wakiristo yesu,ambaye alimlilia Mungu wake msalabani,na ambaye kwa baba yake atakunywa Tena mvinyo,so huyo kwangu Mimi ni mtu tu si Mungu muumba
 
Mwanzo 5:4-5. Siku Za Adamu Baada Ya Kumzaa Sethi Zilikuwa Miaka Mia Nane, Akazaa Wana, WAUME NA WAKE..................
😂Hivi mpo serious mnaamini watu waliishi miaka 800... sometimes tumieni akili...dating system Yao unaijua? Kumbuka system yetu ya calender ni recent tu so unajuaje aliishi mda gani?
 
Kutoka misri mpka Israel ni km 623, ila musa na genge lake walitembea miaka 40, wastani wa km 15 kwa mwaka ,sawa na km 125 kwa mwezi, saw na mita 42 kwa siku sawa na uwanja wa mpira wa miguu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Walikua hawatembei msafara moja kwa moja kama unavyofikiri.Ungekua una nia yakuelewa ungepata majibu ila kwavike nia yako nikuonyesha makosa inakua haina haja yakukuelimisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adam na Eva hawakuzaa watoto wawili tu, walizaa watoto wengi wakiwemo watoto wa kike. Kilichofanyika Cain alimuoa dada yake wakaendeleza ukoo mpaka sasa.
Kwa hiyo mpaka sasa tunaoana kaka na dada
 
Idadai ya Waisrael wakati wanatoka utumwani Misri kwenda Nchi ya Kaanani, walikuwa watu laki 6, bila kuhesabu wanawake na watoto
Yesu aliwalisha kwa samaki mmoja na mikate mitano watu elfu tano, bila kujali wanawake na watoto
Sijui kama nitakuwa nimejibu swali lako
Kweli, Biblia haikuongelea sana watoto wa kike
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Acha kuwaza hayo mambo maana hayaleti ugali mezani, cha msingi amini imani yako,muabudu muumba wako basi inatosha.
 
Kuna sehemu nyingi ndani Bible waandishi wa Bible walikosea kulinganisha uhalisia. Hivyo kwa hili swali lako usitegemee kupata jibu.

Kule mlima Sinai Lutu alizaa na watoto wake wote wawili. Na alizaa nao ikiwa ni baada ya watoto hao kumnywesha pombe baba yao kisha watoto hao wakashiriki tendo la ndoa na baba yao. Lakini kumbuka watatu hao walipona katika ghalika la Sodoma na gomola. Kwa maana nyingine walikuwa ni watiifu kwa Mungu. Sasa omba majibu ya maswali haya kama utapata majibu÷

1. Je kitendo walichokifanya watoto hao sahihi mbele za Mungu?

2. Je kizazi hicho cha maharimu ni kizazi kinachokubalika kwa Mungu?

3. Je pombe ni halali mbele za Mungu kwa sababu wataktifu wake hao waliitumia kama nyenzo ya kupata watoto?

4. Wajukuu wa Lutu aliozaa na watoto wake majina yao ni kina nani?

5. Lutu baada ya kubaini watoto wake wana ujauzito huku akijua kwamba maeneo hayo hawakuwa na mtu yeyete aliye karibu nao aliwahoji watoto hao walikopata mimba?
😂😂 Usisahau kuuliza na familia ya Noah
 
Back
Top Bottom