Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Na kwanini yeye ndio awe hana limit ya time and space na si kitu kingine mkuu, na umejuaje na umethibitishaje kwamba ni yeye tu, na si kitu kingine chochote
Story ya kutunga una weza mtengeneza character unavyotaka , kukataa space na time , ni kumpa sifa character wako tu ili kuonyesha uwezo wake.
 
Sio tz, tunagombana tu humu kwasababu hatujuani. Huku nje sijawahi kuona hiyo sentiment....

waislamu na wakristo wa huku tz wako poa sana
Tuko poa kwasababu Wakristo tunafahamu kuwa usipoishi na Muislamu kwa akili, lazima litokee kitu. Na pia Wakristo tumeamrishwa kufanya amani na watu wote, Mwislamu, Mhindi, Atheists na n.k.

Alaf Tanzania hakuna radical christians, wangekuwepo moto ungewaka. Maana wale wanakuchana makavu na hawaogopi.
 
Tuachane na hayo
 
ndo hivyo tunabanana tu, ila naamini itafika kipindi zitatoweka.... tumetoka kwenye polytheism, sasa mono, tunaenda kwenye atheism
 
Mkuu mi nimenena kutokana na ujuzi nilivokuwa nao. Ila naheshimu wazo lako.
Wapendwa kama nyie ham hitaji kuparuliwa na maneno makali , tunawataka wale wamejazana kwenye nyuzi za kula tunda kimasihara huku wanajifanya yesu ni bwana.
 
Kabisa kaka, chamsingi tuwe na ile 'religious tolerance' tuvumiliane mitazamo yetu tuishi kwa amani.
Nchi zisizo fungamana na dini yeyote ile ndio most peaceful country na nchi zenye furaha.

Rejea ripoti ya "world happiest countries" nchi nyingi ni ambazo wakazi wake ni Atheists na wengine hawa amini kwenye dini. Finland, Denmark, Netherland, Sweden, Norway, Switzerland, Luxembourg na Iceland.

Njoo sasa kwenye nchi zinazo jifanya kumjua Mungu ndio zina ongoza kwa Vita, mauaji, umaskini, ukandamizaji wa haki za binadamu, ukatili, mateso na wananchi wake hawana furaha.

Na nchi hizo nyingi ni kutoka Afrika na Asia. Mifano ni mingi angalia nchi za Afghanistan, Israel & palestina, Yemen, Pakistan, Iraq, Iran suadi Arabia n.k

Angalia nchi za Afrika kama Somalia, Sudan n.k

Yaani nchi zenye dini na kujifanya kumjua sana Mungu ndio nchi zenye maendeleo duni na Umaskini mkubwa sana kwa raia wake.
 
Wapendwa kama nyie ham hitaji kuparuliwa na maneno makali , tunawataka wale wamejazana kwenye nyuzi za kula tunda kimasihara huku wanajifanya yesu ni bwana.
😂😂Aisee hatari sana. Mkuu hii Dunia Ina mambo mengi ya ajabu. Theists wanaishi kama atheists.
 
Atheism Iko sikuzote, yeah inawezekana watu wengi wasiamini kuwa Mungu yupo, ila theists watakuwepo hata kama ni wachache.
Bora mtu aseme ni imani tu ile ku trap ile dhamira ya mtu ya ndani ili maisha yasonge ila kusema ni kwel kabisa lazima uchemke tu.
 
Atheism Iko sikuzote, yeah inawezekana watu wengi wasiamini kuwa Mungu yupo, ila theists watakuwepo hata kama ni wachache.
namaanisha yaani itafika mahali tuko advanced kiasi kwamba theism itachukuliwa kama atheism inavyochukuliwa saivi,

imagine tumekuwepo hapa duniani kwa miaka kama 100k hivi, ila cheki tulichofanya.... tutafika tu kwenye hiyo hatua
 
Watu wengi wanajua kwamba Mungu hayupo ila kwa vile wanahofu za kidini na kuogopa watatengwa na jamii na wana jificha ficha na hawawezi kusema hadharani kwamba hawa mwamini Mungu
Ni kweli maisha wanayoishi theists kwa sasa ni kama vile wanasema Mungu hayupo, hawamuogopi yeye wala sheria zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…