Atheists wanaishi maisha safi kabisa , kwa sababu bila fact dunia hii lazim uchemke , kinachofanya mtu kutenda mazuri ni utambuzi wa mtu tu bila kujal ana amini au hana imani kwa Mungu.😂😂Aisee hatari sana. Mkuu hii Dunia Ina mambo mengi ya ajabu. Theists wanaishi kama atheists.
kwahiyo unasemaje mwanangu, tuhamie?Nchi zisizo fungamana na dini yeyote ile ndio most peaceful country na nchi zenye furaha.
Rejea ripoti ya "world happiest countries" nchi nyingi ni ambazo wakazi wake ni Atheists na wengine hawa amini kwenye dini. Finland, Denmark, Netherland, Sweden, Norway, Switzerland, Luxembourg na Iceland.
Njoo sasa kwenye nchi zinazo jifanya kumjua Mungu ndio zina ongoza kwa Vita, mauaji, umaskini, ukandamizaji wa haki za binadamu, ukatili, mateso na wananchi wake hawana furaha.
Na nchi hizo nyingi ni kutoka Afrika na Asia. Mifano ni mingi angalia nchi za Afghanistan, Israel & palestina, Yemen, Pakistan, Iraq, Iran suadi Arabia n.k
Angalia nchi za Afrika kama Somalia, Sudan n.k
Yaani nchi zenye dini na kujifanya kumjua sana Mungu ndio nchi zenye maendeleo duni na Umaskini mkubwa sana kwa raia wake.
Kweli , theists wanaishi kama vile hakuna Mungu ila ni woga wa kutozikwa inawafanya washikilie hapo.Atheists wanaishi maisha safi kabisa , kwa sababu bila fact dunia hii lazim uchemke , kinachofanya mtu kutenda mazuri ni utambuzi wa mtu tu bila kujal ana amini au hana imani kwa Mungu.
Inawezekana hayupo kwenye mawazo yako na inawezekana wapo wanakuangalia, mmoja anafurahi mwingine anasikitika.Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu hakuna cha mungu wala shetani hawapo
Kabisa mkuu.Ni kweli maisha wanayoishi theists kwa sasa ni kama vile wanasema Mungu hayupo, hawamuogopi yeye wala sheria zake.
That's the reality mkuu.Kabisa mkuu.
Unakuta mtu anadai ana mwamini Mungu ila kwa mganga anaenda.
Yani ina maanisha kwamba Haamini kwamba Mungu atamsaidia, ndio maana anaenda kujaribu kwa mganga.
Ana amini Mungu basi tu kwa vile jamii ndiyo ilivyo mwaminisha.
Ila deep down moyoni anahudhuria kwa mganga...
Unanichosha tu akili bro, ngoja nikafungie mifugo yangu, we ni mfugo wa Ibilisi tu anakuvutia timing kama ambavyo namvutia timing jogoo hapa nimchinje.Na kwanini yeye ndio awe hana limit ya time and space na si kitu kingine mkuu, na umejuaje na umethibitishaje kwamba ni yeye tu, na si kitu kingine chochote
Kumbe atheists mko wengi hadi wanawake.Na kwanini yeye ndio awe hana limit ya time and space na si kitu kingine mkuu, na umejuaje na umethibitishaje kwamba ni yeye tu, na si kitu kingine chochote
Bro just leave them. Wameshaamua.Mnachokitafuta mtakipata.
Acha kutisha watu .Mnachokitafuta mtakipata.
Ujinga na umaskini, wivu wa kimbumbavu ndio vinavyo wasumbuaHuwa nawashangaa sana. Wale wenzetu mi siwaelewi.
Duuh!!!Hakuna cha kutunga. Kila kitu ni Halisia. Mwalimu wa wa theology alikueleza ukweli. Biblia katika mwanzo 5:1-2 inasema "Adamu alizaa wana wa kike na kiume". Mwanzo 6:1-2 pia inasema Wana wa "Wanadamu waliopoongezeka juu ya uso wa nchi, wana wa Mungu wakijitwalia wanawake miongoni mwao na wakazaa nao watoto"
Umeeleza vizuri na mwalimu wa theology alikueleza vizuri. Hawakuwa wanahesabu wanawake na pia wasingeweza kuandika majina ya watu wote wawe Bible Characters lakini baadhi ya maandiko nje ya Biblia"Abrahamic Texts" kama 'The book of Jubilee" kinaeleza mke wa Kaini alikuwa ni mmoja wa Dada yake yaani pacha wake aliyekuwa anaitwa "AWAN" na pia ndio chanzo cha kifo cha Habili kwani walimgombea Dada yao.
Anyway tuishi nao.Ujinga na umaskini, wivu wa kimbumbavu ndio vinavyo wasumbua
Karudie kusoma Tena uelewe,yaani soma nilichoandika siyo alichoandika mwenzio katika imaniMkuu mbona haujajibu sasa lile Swali la aliyemuumba Mungu ni nani ikiwa kila kitu kina muumbaji wake
Duuhhduuuu!¡!!!!Duuh!!!
Huwa unasoma na kuelewa!?..hebu soma Tena nilichoandika,Kama Kuna Mungu mkuu maana yake ana wasaidizi,ambao miongoni mwao ni ng'ombeMungu mkuu ni brahma acha kujikosha...na yeye ndo kaumba mbingu na nchi...😂muabudu yeye bac