Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Nchi zisizo fungamana na dini yeyote ile ndio most peaceful country na nchi zenye furaha.

Rejea ripoti ya "world happiest countries" nchi nyingi ni ambazo wakazi wake ni Atheists na wengine hawa amini kwenye dini. Finland, Denmark, Netherland, Sweden, Norway, Switzerland, Luxembourg na Iceland.

Njoo sasa kwenye nchi zinazo jifanya kumjua Mungu ndio zina ongoza kwa Vita, mauaji, umaskini, ukandamizaji wa haki za binadamu, ukatili, mateso na wananchi wake hawana furaha.

Na nchi hizo nyingi ni kutoka Afrika na Asia. Mifano ni mingi angalia nchi za Afghanistan, Israel & palestina, Yemen, Pakistan, Iraq, Iran suadi Arabia n.k

Angalia nchi za Afrika kama Somalia, Sudan n.k

Yaani nchi zenye dini na kujifanya kumjua sana Mungu ndio nchi zenye maendeleo duni na Umaskini mkubwa sana kwa raia wake.
kwahiyo unasemaje mwanangu, tuhamie?
 
Atheists wanaishi maisha safi kabisa , kwa sababu bila fact dunia hii lazim uchemke , kinachofanya mtu kutenda mazuri ni utambuzi wa mtu tu bila kujal ana amini au hana imani kwa Mungu.
Kweli , theists wanaishi kama vile hakuna Mungu ila ni woga wa kutozikwa inawafanya washikilie hapo.
Theists wengi wanaenda kwa waganga, ni wachache hawaendi.
 
Kiufupi ni kwamba ishi maisha yako. Kama mkitoa views mkashindwa kuelewana, jiondoe. Enjoy life, enjoy it , kama unaenjoy life kwa kuishi maisha ya uadilifu, do it, kama unaenjoy life kwa kuishi maisha ya starehe, ok.
 
Ni kweli maisha wanayoishi theists kwa sasa ni kama vile wanasema Mungu hayupo, hawamuogopi yeye wala sheria zake.
Kabisa mkuu.

Unakuta mtu anadai ana mwamini Mungu ila kwa mganga anaenda.

Yani ina maanisha kwamba Haamini kwamba Mungu atamsaidia, ndio maana anaenda kujaribu kwa mganga.

Ana amini Mungu basi tu kwa vile jamii ndiyo ilivyo mwaminisha.

Ila deep down moyoni anahudhuria kwa mganga...
 
Kabisa mkuu.

Unakuta mtu anadai ana mwamini Mungu ila kwa mganga anaenda.

Yani ina maanisha kwamba Haamini kwamba Mungu atamsaidia, ndio maana anaenda kujaribu kwa mganga.

Ana amini Mungu basi tu kwa vile jamii ndiyo ilivyo mwaminisha.

Ila deep down moyoni anahudhuria kwa mganga...
That's the reality mkuu.
Fear is what keeps people in religion. Ikitokea mtu akaonyesha supernatural powers fulani alafu jamii kubwa ikakubali, watu watazikimbia dini.

Although I am theist, ila kwenye ukweli hatupindishi.
 
Na kwanini yeye ndio awe hana limit ya time and space na si kitu kingine mkuu, na umejuaje na umethibitishaje kwamba ni yeye tu, na si kitu kingine chochote
Unanichosha tu akili bro, ngoja nikafungie mifugo yangu, we ni mfugo wa Ibilisi tu anakuvutia timing kama ambavyo namvutia timing jogoo hapa nimchinje.

Haya kwa sababu amesema kwenye neno lake mimi "NIKO AMBAYE NIKO". Yeye anakupenda sana na u mwanaye japo unajifanya mtukutu. Njoo kwake upone mkuu.
 
Hakuna cha kutunga. Kila kitu ni Halisia. Mwalimu wa wa theology alikueleza ukweli. Biblia katika mwanzo 5:1-2 inasema "Adamu alizaa wana wa kike na kiume". Mwanzo 6:1-2 pia inasema Wana wa "Wanadamu waliopoongezeka juu ya uso wa nchi, wana wa Mungu wakijitwalia wanawake miongoni mwao na wakazaa nao watoto"

Umeeleza vizuri na mwalimu wa theology alikueleza vizuri. Hawakuwa wanahesabu wanawake na pia wasingeweza kuandika majina ya watu wote wawe Bible Characters lakini baadhi ya maandiko nje ya Biblia"Abrahamic Texts" kama 'The book of Jubilee" kinaeleza mke wa Kaini alikuwa ni mmoja wa Dada yake yaani pacha wake aliyekuwa anaitwa "AWAN" na pia ndio chanzo cha kifo cha Habili kwani walimgombea Dada yao.
Duuh!!!
 
kwa kweli majibu ya utafiti wangu yako sahihi kwamba biblia na vitabu vingine vya dini vimejaa visa vya kubuni na hadithi za vitu vya kusadikika.anaenipinga anipinge kwa hoja sasa mke wakaini alitoka wapi hapo? wakati biblia au quran inatuaminisha Adam na hawa ni watu wakwanza kuumbwa?
 
Mkuu mbona haujajibu sasa lile Swali la aliyemuumba Mungu ni nani ikiwa kila kitu kina muumbaji wake
Karudie kusoma Tena uelewe,yaani soma nilichoandika siyo alichoandika mwenzio katika imani
 
Mungu mkuu ni brahma acha kujikosha...na yeye ndo kaumba mbingu na nchi...😂muabudu yeye bac
Huwa unasoma na kuelewa!?..hebu soma Tena nilichoandika,Kama Kuna Mungu mkuu maana yake ana wasaidizi,ambao miongoni mwao ni ng'ombe
 
Back
Top Bottom