Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Quran ni zaidi, kifupi hivyo vitabu ni masela flani walikaa chini wakaunda maneno.
Surah Al-Nisa (4:82): "Do they not reflect(Think deeply) upon the Qur'an? If it had been from [any] other than Allah, they would have found within it much contradiction."
 
Usiongeze Wala usipunguze, maneno ya MUNGU yame hakikiwa, kwa hiyo kile kilicho andikwa ndicho tunachoweza kukisema ,na kama biblia imenyamaza yatupasa nasi tunyamaze.
 
Sio kwamba inabagua. Maandiko inaandika matendo makuu yaliyotendwa na watu katika kumcha Mungu yaani yale yenye mafunzo tu.
 
Huyo anayesema Mungu muumba hayupo,atushawishi tunasema yupo kwa kutueleza yeye katokea wapi ili pasiwe na muumbaji
 
Kuna vitu unavijua na kuna vitu hauvijui.Nadhani Mwanzo 1 hadi 1q ipo upande wa vitu ambavyo hauvijui.Hivyo shut up and go to the toilet to pee.Acha kukifanya mjuaji na kupotosha.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hamna shida kuishi miaka 800 eee ..mbona watu now hawaishi...
Dini ya kikristo wewe hapo na kabila lako umeletewa na mzungu ili akujaze ujinga akutawale...unadhani waliwezaje kututumikisha, ukristo na uislamu zote zinasapoti utumwa...asa jichetue
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Tabiri za kipuuzi za biblia eti mwisho wa dunia kutakuwa na vita sijui matetemeko...πŸ˜‚hizi sio tabiri hizi story za kitoto...ukitaka utabiri uwe direct sema nchi fulani mwaka fulani itatokea kitu fulani...where does the bible do that...hamna utabiri wa maana kwenye bible.
Siamini bible coz Ina mauongo mengi watu wameweka afu wametishia watu ni ya Mungu na mijitu imeamini coz ni mijinga na mioga Kama wewe
 
Huyo anayesema Mungu muumba hayupo,atushawishi tunasema yupo kwa kutueleza yeye katokea wapi ili pasiwe na muumbaji
Nakwambia hivi πŸ‘‡

Binadamu tumezaliwa kupitia baba na mama zetu,

Hakuna sehemu Mungu huyo ana onekana akiumba binadamu.

Baba yako na mama yako walikuwa kwenye starehe zao ukazaliwa wewe.wala walikuwa hawajui kwamba utazaliwa wewe.
 
Bro hoja yako ni nini? Chanzo cha uwepo na sababu ya wewe kuwepo ni nani?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sijui...na wewe hujui ..full stop..hamna haja ya kutunga story. Mi nachojua ni product ya wazazi wangu...asa sababu waulize wao sio mimi...
 
Why Mungu wako ni mbaguzi wa kijinsia
 
πŸ˜‚Na yakobo aliyecheza nae mieleka...afu nishawaambia msitumie Chaka la kiroho
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Tunaanza mdogo mdogo kitabu chenu kina makosa kibao Sana na biblia sio historia...katafute evidence za archeology kuhusu chochote kwenye genesis Kama utapata...hizi ni story tu
 
πŸ˜‚Lilith si solution to the contradiction ya bible kwamba Mungu aliumba mwanaume na mwanamke afu baadae tunashangaa yupo mwenyewe alafu mwanamke anatoka kwenye mbavu...ikabidi wapachike Lilith kama kifukio...πŸ˜‚ Wakristo bana
 
Why Mungu wako ana ubaguzi wa kijinsia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…