Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Quran ni zaidi, kifupi hivyo vitabu ni masela flani walikaa chini wakaunda maneno.
Surah Al-Nisa (4:82): "Do they not reflect(Think deeply) upon the Qur'an? If it had been from [any] other than Allah, they would have found within it much contradiction."
 
Usiongeze Wala usipunguze, maneno ya MUNGU yame hakikiwa, kwa hiyo kile kilicho andikwa ndicho tunachoweza kukisema ,na kama biblia imenyamaza yatupasa nasi tunyamaze.
 
hii itazua taharuki

ila nakumbuka mwalimu wangu wa bible knowledge kasomea theology alikua anatuambia kuna nadharia kwamba adam na hawa walikua na watoto wengine wa kike, lakini tamaduni za kipindi kile watoto wa kike walikua hawahesabiwi ndo maana hawajazungumziwa....

hata mtoto wa yakobo, dinah hakuzungumziwa sana kama mnakumbuka na wala hawakusema kama alipewa ardhi kule kwenye nchi ya ahadi

kiufupi bibilia ya agano la kale inakandamiza sana wanawake

lakini uhalisia ni kwamba kuanzia mwanzo 1-11 ni hadithi za kutungwa, sema hii itakua ngumu kwa wanaoamini kuelewa
Sio kwamba inabagua. Maandiko inaandika matendo makuu yaliyotendwa na watu katika kumcha Mungu yaani yale yenye mafunzo tu.
 
Nimesoma ila nilichoona ni kuwa ulikwepa hoja badala ya kujibu swali mara sijui ili kujadili chanzo cha Mungu inabidi kwanza mtu akubali kama huyo Mungu yupo, hiyo inahusiana nini wakati wewe unayeamini kwamba kuna Mungu kwa kigezo cha kwamba kila kilichopo lazima kiwe na chanzo chake, ndio unatakiwa ueleze chanzo chake ni kipi kabla ya kumshawishi kwanza huyo mtu kwamba Mungu yupo
Huyo anayesema Mungu muumba hayupo,atushawishi tunasema yupo kwa kutueleza yeye katokea wapi ili pasiwe na muumbaji
 
hii itazua taharuki

ila nakumbuka mwalimu wangu wa bible knowledge kasomea theology alikua anatuambia kuna nadharia kwamba adam na hawa walikua na watoto wengine wa kike, lakini tamaduni za kipindi kile watoto wa kike walikua hawahesabiwi ndo maana hawajazungumziwa....

hata mtoto wa yakobo, dinah hakuzungumziwa sana kama mnakumbuka na wala hawakusema kama alipewa ardhi kule kwenye nchi ya ahadi

kiufupi bibilia ya agano la kale inakandamiza sana wanawake

lakini uhalisia ni kwamba kuanzia mwanzo 1-11 ni hadithi za kutungwa, sema hii itakua ngumu kwa wanaoamini kuelewa
Kuna vitu unavijua na kuna vitu hauvijui.Nadhani Mwanzo 1 hadi 1q ipo upande wa vitu ambavyo hauvijui.Hivyo shut up and go to the toilet to pee.Acha kukifanya mjuaji na kupotosha.
 
Kwani shida nini kuishi miaka 900 mkuu? Mzungu gani kaniletea kitabu? Nikufundishe leo.

Mimi ni Mkristo na Ukristo Afrika wala duniani haukuletwa na mzungu we Pimbi. Toka enzi kanisa lilikiwa na kila race. Kulikiwa na ngozi nyeusi akina Niger na Simoni Mkananayo. Mitume wa mwanzo wa Yesu walikuwepo kila race tena baadhi ya vitabu vinaeleza hao mitume kuja Africa na kufia Afrika. Ukristo ulikuwepo Afrika hata kabla ya kuja Wamisionari. Mitume akiwemo Yuda alikuja Afrika na kuanzisha Kanisa pale Ethiopia na kufia pale kabla ya Ukoloni na hao wamisionary mnaowasoma kwenye Historia. Pia sijui uwezo wako wa kuchanganua mambo umeuweka.wapi? Kwanini hujui kutenganisha kati ya uzungu na wazungu(Race and Culture) na Ukristo(Imani takatifu tukitokabidhiwa mara moja)
😂😂😂😂hamna shida kuishi miaka 800 eee ..mbona watu now hawaishi...
Dini ya kikristo wewe hapo na kabila lako umeletewa na mzungu ili akujaze ujinga akutawale...unadhani waliwezaje kututumikisha, ukristo na uislamu zote zinasapoti utumwa...asa jichetue
 
Na wewe huamini vyote sio??

Mbona hamwongelei utabiri wa kutisha uliopo kweny biblia?? Isaya na Daniel walitabiri wafalme na Falme zitakazo kuja kutawala dunia na imetokea kama walivoandika hadi wanahistoria wanashangaa, au waliandika tuu kwa bahati mbaya yakaja kutokea kweli?
😂😂😂😂😂Tabiri za kipuuzi za biblia eti mwisho wa dunia kutakuwa na vita sijui matetemeko...😂hizi sio tabiri hizi story za kitoto...ukitaka utabiri uwe direct sema nchi fulani mwaka fulani itatokea kitu fulani...where does the bible do that...hamna utabiri wa maana kwenye bible.
Siamini bible coz Ina mauongo mengi watu wameweka afu wametishia watu ni ya Mungu na mijitu imeamini coz ni mijinga na mioga Kama wewe
 
Huyo anayesema Mungu muumba hayupo,atushawishi tunasema yupo kwa kutueleza yeye katokea wapi ili pasiwe na muumbaji
Nakwambia hivi 👇

Binadamu tumezaliwa kupitia baba na mama zetu,

Hakuna sehemu Mungu huyo ana onekana akiumba binadamu.

Baba yako na mama yako walikuwa kwenye starehe zao ukazaliwa wewe.wala walikuwa hawajui kwamba utazaliwa wewe.
 
Bro hoja yako ni nini? Chanzo cha uwepo na sababu ya wewe kuwepo ni nani?
😂😂😂Sijui...na wewe hujui ..full stop..hamna haja ya kutunga story. Mi nachojua ni product ya wazazi wangu...asa sababu waulize wao sio mimi...
 
Jibu ni SIMPLE tu mpenzi, biblia haijaandikwa kwenye chronological order,ukienda mbele kidogo utaona Adam alizaa wana wake kwa waume, it is obvious mwanzoni walikuwa wakioana ndugu mpaka pale alipokuja kuwazuia kwenye mambo ya walawi

2.Wana wa kike walikuwa hawahesabiwi ndio maana unaona sehemu nyingi zinazungumzia wana wa kiume tu....Shalom
Why Mungu wako ni mbaguzi wa kijinsia
 
Hujaelewa, kumuona Mungu owa namna gani hujajua? Kumuona Physically na sio spiritually. Mbona Mungu kwenye Biblia kujifunua kwa watu wake spiritually kuanzia Isaya hadi Mikaya.

Issue ya Musa kabla hajamuona kwa kulingana na hilo ulichoandika kulikiwa na convo kati yao na Mungu alimwambia Mungu hakuna ambaye atamuona yeye na akaishi. Ila kwa kuwa Musa alimuomba Mungu amuone, ndiyo akajifunua kwake tena haikuwa dhahiri kwani Mungu alimwambia ajifiche kwenye mwamba ili amuone kwa nyuma.asije akafa. Sasa hapo contradiction ipo wapi mkuu?
😂Na yakobo aliyecheza nae mieleka...afu nishawaambia msitumie Chaka la kiroho
 
Jamaa wanaleta ujuaji tu. Tumewaeleza pia nini maana na msingi wa Neno la mungu kwenye Biblia. Biblia sio kitabu cha hadithi ni kitabu kinachotufundisha sisi wanadamu tujue asili yetu na namna gani tuishi maisha ya kumpemdeza Mungu ili tuurithi uzima wa Milele. Mbona hawahoji kuhusu mke wa Abel na Seth au wao walioana wanaume kwa wanaume?
😂😂😂😂Tunaanza mdogo mdogo kitabu chenu kina makosa kibao Sana na biblia sio historia...katafute evidence za archeology kuhusu chochote kwenye genesis Kama utapata...hizi ni story tu
 
Google results:

How many wives did Adam have?
Lilith and Eve
- wives of Adam.1 Jan 2005

Was Cain's wife Lilith's daugther?
Not only was Lilith removed from the Bible, but she was demonized. The facts remain that she did exist and she did have children that are mentioned throughout the ancient literature. At lease one of her daughters was called Lilim.
Lilim became Cain's wife.
## Did Adam marry Lilith in the Bible?
MEET LILITH – ADAM'S FIRST WIFE

Lilith's name is not included in the creation story of the Torah but she appears in several midrashic texts. There are multiple origin stories for Lilith, but the most popular story depicts Lilith as the first wife of Adam.
😂Lilith si solution to the contradiction ya bible kwamba Mungu aliumba mwanaume na mwanamke afu baadae tunashangaa yupo mwenyewe alafu mwanamke anatoka kwenye mbavu...ikabidi wapachike Lilith kama kifukio...😂 Wakristo bana
 
Maswali mengine ya kitoto sana. Ila wake za Seth, Abel, Lutu, Kanaani, Shem, Hamu, Yafeti, Yohana mbatizaji, Petro, Paulo, Sila, yuda n.k nao wameandikwa? Mke wa Pilato naye kaandikwa? Acheni ujuaji nyie. Sasa kungekuwa na maana gani kama Biblia ingeandika wake za watu wote. Kuanzia Adam hadi Mtume Yohana.

Kuandikwa kwa Hawa au Eve kama unavyosema ni kuonesha chanzo cha wanadamu au wewe ni mtoto wa kuasiriwa toka kwa Baba au Mama zako wenye jinsia moja?😃😁😆😢😢😞
Why Mungu wako ana ubaguzi wa kijinsia
 
Back
Top Bottom