Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Biblia inayo pande mbizi ambazo ni Agano la kale na Agano jipya, Agano lakale lilikuwa linalenga mambo ya kimwili, leo Agano jipya lina lenga mambo ya Kiroho Yaani tenda kulingana na Roho yako itakavyo kuamulia.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bac niambie wapi Yesu kakataza ushoga? Wakristo mnajikosha tu...mnachagua sheria coz biblia ni ndefu Ina sheria kibao zinazokinzana...so mnachagua wat fits u...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kingine kiroho ni Nini...wat is kiroho maana ndo Chaka lenu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yaani wewe ni kama mchezaji anakaribia kufunga goli afu anajikosesha...yaani contradiction umeona kabisa ila unaifumbia macho...haya bana..mjinga sio mimi
 
Nakwambia hivi πŸ‘‡

Binadamu tumezaliwa kupitia baba na mama zetu,

Hakuna sehemu Mungu huyo ana onekana akiumba binadamu.

Baba yako na mama yako walikuwa kwenye starehe zao ukazaliwa wewe.wala walikuwa hawajui kwamba utazaliwa wewe.
Uelewa duni,namaanisha wewe Kama binaadam
 
Huwa unasoma na kuelewa!?..hebu soma Tena nilichoandika,Kama Kuna Mungu mkuu maana yake ana wasaidizi,ambao miongoni mwao ni ng'ombe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ng'ombe sio Mungu ni sacred tu...Kama wewe na msalaba au waislamu na ule mdude wa mecca...acha kujitoa akili sawa
 
Uelewa duni,namaanisha wewe Kama binaadam
Uelewa duni, mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Una bwabwaja bwabwaja tu.

Halafu unasema mimi nina uelewa duni.

Thibitisha kwamba Mungu ndio ame tuumba.
 
Tafadhali pitia link hii kwa majibu sahii
www.jw.org/sw/je mke wa kaini alikuwa nani?
 
Mkeka umeshindikana kujibiwa kwa binti wa kilokole... Acha tu aendelee kuniuzia uji, mambo ya dini ni magumu
 
Uelewa duni, mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Una bwabwaja bwabwaja tu.

Halafu unasema mimi nina uelewa duni.

Thibitisha kwamba Mungu ndio ame tuumba.
Thibitisha kwamba hukuumbwa,ueleze ulikotokea,siyo unataka nikupe picha ya Mungu muumba unayemkataa wakati huwezi kunionesha ulikotokea Kama binaadam,nioneshe umetokea wapi,nitaacha kuamini juu ya Mungu muumba leoleo
 
Uko serious kabisa unaandikia watu wazima wanaojitambua na uwezo wa kufikiri na kutofautisha?
 
Uelewa duni, mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Una bwabwaja bwabwaja tu.

Halafu unasema mimi nina uelewa duni.

Thibitisha kwamba Mungu ndio ame tuumba.
Basi hatujaumbwa na Mungu,....tumetokea tu from nowhere.

Nadhani hiyo ina make sense zaidi kwenye kichwa chako.
 
Acha kwenda nje ya mada...muumba ni brahma ..why humuabudu?
Vishnu,Lakshmi na wengine wengi ni miungu wenzake,ana colabo,Qur'an inasema 'pangelikua na miungu wengi basi pangekua na vurugu Sana ulimwenguni'..maana Lakshmi angetaka kuleta mvua wakati huohuo Vishnu angetaka leta theluji...Mimi naabuu Mungu mmoja asiye na mshirika,brahma kajiumba kwa dhahabu,Mungu wangu kaumba dhahabu
 
Hapo sasa ndo tulipo tofautiana, swala la ufuatiliaji ni muhimu sana, sasa kwa taarifa yako utabiri uliopo kweny biblia ni exact na umenyooka, matukio na miaka yapo, utabiri upo direct sema kwasababu hutaki kujua, umeshikilia imani zako ili usijishughulishe na mambo ambayo huoni umuhimu wake sawa, mimi wakati fulani nilikuwa kama wewe ila utulivu wa akili na kusoma biblia kwa kumaanisha kulinisaidia, Isaya hadi alitabiri jinsi ufalme wa babel utakavyo pigwa na njia maadui watakayo tumia kuingia kweny malango.

Tatizo lenu nyie na tatizo langu zamani ipo hv, mnasema bible ni uongo, sawa, mkionyeshewa proof za utabiri uliotokea na miaka yake exactly kama ilivyoandikwa, mnasema data za uongo hizi zimepikwa, I just can't help it.

Swala la kuamini, ni uamuzi wa kutatanisha, ni kama kufunga ndoa tuu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Acha kujikosha....wewe kutunga story kwamba Mungu wako ni mmoja doesn't make him true...muumba ni brahma...why haumuabudu...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Taja mstari wenye tabiri ya maana hapa...usiongee sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Acha kujikosha....wewe kutunga story kwamba Mungu wako ni mmoja doesn't make him true...muumba ni brahma...why haumuabudu...
Kajiumba kwa dhahabu brahma,Mimi Mungu wangu kaumba dhahabu,Sasa nimuabudu yupi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…