Hapo sasa ndo tulipo tofautiana, swala la ufuatiliaji ni muhimu sana, sasa kwa taarifa yako utabiri uliopo kweny biblia ni exact na umenyooka, matukio na miaka yapo, utabiri upo direct sema kwasababu hutaki kujua, umeshikilia imani zako ili usijishughulishe na mambo ambayo huoni umuhimu wake sawa, mimi wakati fulani nilikuwa kama wewe ila utulivu wa akili na kusoma biblia kwa kumaanisha kulinisaidia, Isaya hadi alitabiri jinsi ufalme wa babel utakavyo pigwa na njia maadui watakayo tumia kuingia kweny malango.
Tatizo lenu nyie na tatizo langu zamani ipo hv, mnasema bible ni uongo, sawa, mkionyeshewa proof za utabiri uliotokea na miaka yake exactly kama ilivyoandikwa, mnasema data za uongo hizi zimepikwa, I just can't help it.
Swala la kuamini, ni uamuzi wa kutatanisha, ni kama kufunga ndoa tuu.