Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Jibu rahis tu, jiulize mbona kuna wazungu na watu weusi wkt Mungu aliumba adamu na hawa tu ?ni hvi swala la uumbaji kwa menyezi Mungu liliendelea aliendelea kuumba watu wengine adamu na eva walitwaja kwa kwa kuwa walikuwa wa kwanzA,Biblia inasema kama mambo yote yaliyofanyika yangeandikwa basi pasingetosha hivyo vichache vimeandikwa ili uamini...
 
mkuu umenifumbua macho kuna kodi nimeunganisha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Taja mstari wenye tabiri ya maana hapa...usiongee sana.
Isaya 13; 17-20

Hapa Isaya aliandika huu utabiri 200 years before tukio kutokea.

Fuatilia, punguza ujuaji, ujuaji haukufikishi kokote.
 
Kutoka misri mpka Israel ni km 623, ila musa na genge lake walitembea miaka 40, wastani wa km 15 kwa mwaka ,sawa na km 125 kwa mwezi, saw na mita 42 kwa siku sawa na uwanja wa mpira wa miguu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sababu za safari kuwa ndefu ni 2
1) Ni Mungu hakutaka wakutane na vita mapema kwa sababu bado ni taifa changa.

Kutoka 13:17
"Ilikuwa hapo Farao alipokwisha kuwaacha watu hao waende zao, Mungu hakuwaongoza kwa njia ya nchi ya Wafilisti, ijapokuwa ilikuwa ni ya karibu; maana Mungu alisema, Wasije wakaghairi watu hawa hapo watakapokutana na vita, na kurudi Misri;"

2) Ni kwa sababu Mungu aliwaadhibu kwa kipindi cha miaka 40 mpaka kizazi kilichomkaidi yeye kipite ndo safari iendelee.
Hesabu 14:34
"Kwa hesabu ya hizo siku mlizoipeleleza ile nchi, yaani, siku arobaini kila siku kuhesabiwa mwaka, mtayachukua maovu yenu, ndiyo miaka arobaini, nanyi mtakujua kufarikana kwangu."
 
Ukaamini kabisa na una sapoti mauaji yanayoendelea palestina kwz story kama hizi??
 
Tumezaliwa kupitia baba na mama na wao hivyo hivyo kupitia babu na bibi, To endless.

Na wewe Mungu huyo katokea tu from no where, ina make sense Kwenye kichwa chako?
Unaposema kupitia babu na Bibi to endless una uhakika na ushahidi unao?
Au una force assumptions zako ziwe sahihi na fact 100%?

Hivi kama wewe mwenyewe hujijui umetokea wapi,...utaweza kujua alipotokea Mungu?

Nadhani ni rahisi zaidi kujijua wewe kwanza,...Kisha ndiyo uanze kuhoji Mungu katokea wapi.

Mfano unaweza kujiuliza:-
Question_Scientifically,between sperms and Human being which was the first to appear,?

Answer_Sperms are a part of human reproduction, so technically, human beings came first.

Sasa hapo unapaswa ujiulize kama scientifically Watu walianza kuwepo kabla ya reproduction,. then hao watu walitokea wapi while reproduction haikuwepo?

Unaweza ukajiuliza maswali kama hayo,..huenda moyo wako ukaelewa.
 
Naona umejipanga kwa ligi mzee. Haya hongera umeshinda. Byeeeee
 
Anakupotezea muda wako huyo. Analazimisha ubishi tu. Hoja nyingi tulishazijibu sasa anaruka ruka tu.
 
Sikutegemea kutakuwa na jibu kama hili, mkuu inaonesha upo deep sana kwenye bilble hongera sana. Ujue bibla kuielewa inahitaji akuli yenye kufikiria sana la sivyo kila siku tutaanzisha makanisa mapya au kuhama makanisa kwa kusoma mstari mmoja mmoja wa biblia na kutopata tafri sahihi.
 
Isaya 13; 17-20

Hapa Isaya aliandika huu utabiri 200 years before tukio kutokea.

Fuatilia, punguza ujuaji, ujuaji haukufikishi kokote.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ni utabiri wa Yesu au...yaani ni sawa kwenye infinity war waseme Thanos atakufa afu kwenye endgame afe...πŸ˜‚ndo maana nasema hauna la maana...Ile ni storybook so of course lazma ijitabirie mbeleni kukoje na itimize...na Kuna contradictions nyingi kwenye story ya Yesu kwa sababu ya hizo forced prophesies.. Mara kaenda Egypt Mara Jerusalem Mara mama bikra Mara haitajwi Mara uzao wa Solomon Mara Nathan...yote haya coz wameforce kutimiza maandiko ambayo mengine yalikuwa hata hayamhusu Yesu.
Leta tabiri iliyotabiriwa ndani halafu nje ya bible ikatokea
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hamkosi visingizio hivi wewe hata uzunguke Tanzania nzima ili utokee dar mpaka dodoma utatumia miaka 40 kweli ..πŸ˜‚hii story ni ya kutungwa nakuambia na haina evidence acha ubishi...fuatilia Egyptian history au Jewish history (sio religion) utaona Kama huu upuuzi upo...acha kujitoa akili
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Using the same logic ... Mungu katoka wapi....mbona kapop out of nowhere...na ukisema "alikuwepo" bila kuleta evidence yoyote ...bac na binadamu "tulikuwepo" na hatutakiwi kukupa evidence yoyote
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Tafsiri sahihi anatoa nani...afu why kitabu ambacho kinatakiwa kuwa muongozo wetu mpaka tafsiri ..ni sawa ununue dawa afu maandishi ya instructions yawe kichina...ndo bible asa. Ni upuuzi na we unatetea kabisa. Hapo hajajibu kitu kakimbilia kisingizio wanawake hawatajwi...which is a lie ..kina Leah Sarah Rachel mbona wametajwa... saying that wanawake hawahesabiwi doesn't answer the question ni kukimbia tu
 
Uelewe kwamba ni taifa zima wako safarini, vijana, wazee, watoto wachanga na mifugo na mali zao hata miaka 100 wanaweza kutumia.

Wenzio hata atheists wanakubaliana na huu ukweli, kataa vitu vingine labda lakini suala la kutoka kwa Waisraeli Misri eti unanishauri nifuatilie Egyptian history, hivi wewe umefuatilie kweli Egyptian history ukaona hawaja document hiki kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…