Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Mungu ametupa uhuru tuwe wema au tuwe waovu hataki kutuendesha kama maroboti. Anataka tumpende kutoka moyoni sio yeye atulazimishe

Yoshua 24:15 BHN

Kama hamtaki kumtumikia Mwenyezi-Mungu, basi chagueni leo hii ni nani mtakayemtumikia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Asa Kama amewapa uhuru mbona kawapa mafuriko....πŸ˜‚πŸ˜‚we unaweza mpa mwanao uhuru afu autumie umzamishe kwenye maji umuue...πŸ˜‚doesn't make sense
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Anamwongelea nyoka na binadamu nyoka atakung'ata na wewe utamuuwa kwa kuponda kichwa chake...acha kujitoa akili Kama mtoto wa nursery.
πŸ˜‚πŸ˜‚ Lengo la kufurika si kusafisha dunia.... mbona uovu uliendelea...so what's the point si angeacha tu...
πŸ˜‚Ehe what's ur defense ?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Magonjwa ni mapepo according to bible...yaani yanasababishwa na shetani ndo logic ya kuombewa ili shetani ishindwe..πŸ˜‚Taja sehemu kwenye biblia inasema kuhusu vijidudu...au alikuwa hajui
πŸ˜‚Kuna mstari unaelezea mtu mwenye ukoma inabidi ajipake damu ya ndege sijui wawili atapona... yaani mpaka nacheka
 
Surah Al-Nisa (4:82): "Do they not reflect(Think deeply) upon the Qur'an? If it had been from [any] other than Allah, they would have found within it much contradiction."
Jua kuzama matopeni ikoje hiyo?
Mudi kupasua mwezi vipande viwili ikoje?
 
Unaambiwa nyoka akamwambia Hawa πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚ nyoka alikuwa anaongea bana kwahiyo waliongea lugha gan na kati ndo wametoka kuumbwa ? Na ilikuwaje nyoka akaacha kuongea na binadamu ikiwa laana yake hakuambiwa hatooongea???
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Using the same logic ... Mungu katoka wapi....mbona kapop out of nowhere...na ukisema "alikuwepo" bila kuleta evidence yoyote ...bac na binadamu "tulikuwepo" na hatutakiwi kukupa evidence yoyote
Designer wa Lamborghini unaweza usimjue,... lakini akija mtu akikuambia Lamborghini haina Designer wake utamuona mjinga wa mwisho.

Artificial human,..AKA robots wapo, Unaweza usimjue Designer wa Robot husika,..lakini akija mtu akisema robots hazina Designer wake.,utamuona mjinga wa mwisho.


Hivi kwa akili tu ya kawaida,...unashindwa kujua kwamba inahitaji ujuzi mkubwa mno Kwa vitu kuwa kwenye balance hii tunayoiona kwenye Dunia,..?

Hapo ulipo hauwezi kuunda Brand new Car, watch, Mobile phone etc..,Kwasababu ujuzi huo huna.
Which is the same kwamba,.. hauwezi kuunda mtu, nyuki, sisimizi n.k Kwasababu ujuzi huo huna.

Brother,..Nakupa mifano rahisi ambayo hata layman anaelewa.

Ahsante.
 
Umejibu βœ”
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Asa Kama amewapa uhuru mbona kawapa mafuriko....πŸ˜‚πŸ˜‚we unaweza mpa mwanao uhuru afu autumie umzamishe kwenye maji umuue...πŸ˜‚doesn't make sense
Kabla hajaleta mafuriko alimtumia Noa kuwaambia wabadilike.

Mungu kabla hajatoa adhabu kwanza anakuonya ubadilke.

Watu wa Ninawi walikuwa waovu Mungu akamtuma Yona awaonye wabadilike walipobadilika hakuwaadhibu
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya ugonjwa na mapepo. Hakuna mstari unaosema kitu kama hicho
 
Unaambiwa nyoka akamwambia Hawa πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚ nyoka alikuwa anaongea bana kwahiyo waliongea lugha gan na kati ndo wametoka kuumbwa ? Na ilikuwaje nyoka akaacha kuongea na binadamu ikiwa laana yake hakuambiwa hatooongea???
πŸ˜…πŸ˜‚Achana na hizi story mkuu...kichwa kitauma kwa kucheka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Simjui designer wa Lamborghini ila kiwanda Cha Lamborghini kipo na ukitaka hata Leo unaweza order Lamborghini likatengenezwa...hamna evidence yoyote Ile ya aina yoyote Ile ya uumbaji...kitu hujui hujui tu...usijitungie majibu. Even if the answer is a creator...bado nalo Lina maswali mengi alikuwa wapi before, alitokeaje, yupoje, kaumba why alikuwa bored au, hapo alipokuwepo alipaumba nani ..etc ..so kuepuka maswali mengi Kama haya...it's best useme cjui..na even if there is a god...u have a very long way mpaka kufikia Jesus au Allah au Zeus is true. Coz it's easy kusema "my god is the creator of everything" ila umesema tu...ndo maana Kuna dini buku kidogo ..
 
Kabla hajaleta mafuriko alimtumia Noa kuwaambia wabadilike.

Mungu kabla hajatoa adhabu kwanza anakuonya ubadilke.

Watu wa Ninawi walikuwa waovu Mungu akamtuma Yona awaonye wabadilike walipobadilika hakuwaadhibu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Alifika Australia na Africa na north America huyu Noah...au kipindi hicho dunia nzima ni Kijiji...πŸ˜‚πŸ˜‚alafu we mtu mwenye miaka 800 angekufata kukuonya hivyo ungemsikiliza...why Mungu asimwambie kila mtu abadilike mpaka atumie mtu mmoja how is that fair...πŸ˜‚ubaya ni kwamba kwenye epic of Gilgamesh hivyo hivyo mtu mmoja anafatwa copy n paste
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya ugonjwa na mapepo. Hakuna mstari unaosema kitu kama hicho
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Magonjwa husababishwa na shetani ndo maana Yesu alikuwa anaponya kwa nguvu za Mungu...πŸ˜‚we niambie mstari unaotaja bacteria au protozoans
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kudadek...kwa taarifa yako acha kujikosha.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kama dunia yako ndo ipo hivi anga ni kama "tent" sawa.
 

Attachments

  • Screenshot_20231027-090207.png
    41.9 KB · Views: 2
NAWAULIZA TENA MUNGU MUWEZA WA YOTE ANAWEZA KUUMBA KITU CHENYE MAARIFA NA UJUZI MKUBWA KULIKO YEYE MWENYEWE?? "Can God create something bigger than himself?"
πŸ˜…Watakuambia don't put god to a test
 
Naona wakina Thomaso hatutakaa tuishe itakua mwanawe Adam nae atakua alikimbia kumfuata kain ndio maana Leo hii mama naweza diriki kutembea na mwawe wakiume akili za usiku hizi Dunia inaenda hovyohovyo sasa
 
Unataka kutuambia kuwa, Yesu hakutambua wanawake na watoto?
 
Biblia ni andiko lililo jaa Contradiction nyingi sana na logical fallacies.

Biblia naielewa na Contradictions hizo ukitaka naziweka hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…