inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hiki ni kichaka Cha kujifichia baada ya kukwama kihoja,muongozo wa Mungu kwa watu hauwezi kuhitaji mtu awe na maarifa ya kirohoIli uelewe unahitajika maarifa ya kiroho sio kukurupuka...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ni kichaka Cha kujifichia baada ya kukwama kihoja,muongozo wa Mungu kwa watu hauwezi kuhitaji mtu awe na maarifa ya kirohoIli uelewe unahitajika maarifa ya kiroho sio kukurupuka...
Mjadala kwa wasiofikiri ndo unakuwepo,huwezi kwenda mfugale interchange,ukute site za kupitia na taa za kuingozea magari halafu useme mfugale imetokea tu hakuna aliyeiplan na kuijengaMkuu nisikuchoshe bure Mungu angekuepo ata huu mjadala wa kujiuliza kama yupo au hayupo usingekuwepo.
Israel kutoka utumwani ni juzi tu ukilinganisha na kuumbwa adama,by the way Adam hakuwa muisraelKwa sababu wametaajwa kuwa walikuwa hawatajwi; tangu kipindi kile cha Mwanzo Waisrael walipokuwa wanatoka utumwani Misri
Musa alipiga maji na fimbo maji yakajitenga , Mungu akafanya moyo wa farao kuwa mgumu ili atambe na kuua wazaliwa wakwanza mpka wanyama , hiz hadithi ni zaidi ya utoto.Tupe sababu ,kwanini za kutungwa ?
Maandiko yote ya kidiniMzee, vipi kuhusu Quran nayo ni ya kutunga ama vipi
Kama unaamini hakuna kitu kinaweza kuwepo tu bila kuwekwa , je Mungu kawekwa na nan ? Kinyume na apo hoja yako ni mfu.Mjadala kwa wasiofikiri ndo unakuwepo,huwezi kwenda mfugale interchange,ukute site za kupitia na taa za kuingozea magari halafu useme mfugale imetokea tu hakuna aliyeiplan na kuijenga
Suala la kitu kuwepo ni sharti pawepo muwekaji si Imani Bali fact,suala la Mungu kawekwa na nani hapo alipo litafuata baada ya kumaliza mjadala wa yupo au laa...sawa!?Kama unaamini hakuna kitu kinaweza kuwepo tu bila kuwekwa , je Mungu kawekwa na nan ? Kinyume na apo hoja yako ni mfu.
Mwanae alienda nchi ya nod,akakuta watu,akachukua goma akagonda vituMwanzo 5:4-5. Siku Za Adamu Baada Ya Kumzaa Sethi Zilikuwa Miaka Mia Nane, Akazaa Wana, WAUME NA WAKE..................
Sawa tusipoteze mda kawekwa na nani kama lazima kila kitu kiwe na mwekaji.Suala la kitu kuwepo ni sharti pawepo muwekaji si Imani Bali fact,suala la Mungu kawekwa na nani hapo alipo litafuata baada ya kumaliza mjadala wa yupo au laa...sawa!?
Inabidi sasa kutumia akili, induction/ deductionIsrael kutoka utumwani ni juzi tu ukilinganisha na kuumbwa adama,by the way Adam hakuwa muisrael
Pitia uzi huu uulize:Ili swali sijawahi pata jibu japo nimewauliza waumini wengi wa madhehebu tofauti
Biblia imejaa Contradiction nyingi sana na logical fallacies...Tupe sababu ,kwanini za kutungwa ?
Ukiuliza kawekwa na nani,maana yake umekubali yupo,sawa!?Sawa tusipoteze mda kawekwa na nani kama lazima kila kitu kiwe na mwekaji.
Maswali ya kibiblia yanajibiwa na bilblia yenyewe.Habari zenu,
Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:
"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."
Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Huyo Mungu na yeye alitokeaje?Mjadala kwa wasiofikiri ndo unakuwepo,huwezi kwenda mfugale interchange,ukute site za kupitia na taa za kuingozea magari halafu useme mfugale imetokea tu hakuna aliyeiplan na kuijenga
Kutoka misri mpka Israel ni km 623, ila musa na genge lake walitembea miaka 40, wastani wa km 15 kwa mwaka ,sawa na km 125 kwa mwezi, saw na mita 42 kwa siku sawa na uwanja wa mpira wa miguu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Biblia imejaa Contradiction nyingi sana na logical fallacies...
Yani Biblia ina ji Contradict yenyewe kwa yenyewe kwa kauli zake.
Na hii ni uthibitisho tosha kwamba Biblia ni kazi na maandiko ya kutungwa yaliyo na dosari za kibinadamu.
Hivyo biblia ni stori za kusadikika.
Nitakupa mfano wa baadhi ya Contradiction hizo[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2793694View attachment 2793695
Kuna sehemu nyingi ndani Bible waandishi wa Bible walikosea kulinganisha uhalisia. Hivyo kwa hili swali lako usitegemee kupata jibu.Ili swali sijawahi pata jibu japo nimewauliza waumini wengi wa madhehebu tofauti