Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kaini na Abel walikuwa na dada zao. Tamaduni za watu wa Mashariki ya kati ziliwatukuza zaidi wanaume kuliko wanawake.

Abel alioa mojawapo wa dada zake. Na adam alikuwa nao mabinti wengi tu.

Hata mfano Yakobo hakuwa na watoto 12 wanaume tu bali pia alikuwa na mabinti wengi na siyo Dina peke yake ambaye tunaona kisa chake baada ya majanga.

Hivyo hivyo Avram, Isaack n.k

Angalia pia Marko 6:44. Inasema Yesu alilisha watu elfu 5 wanaume. Huu ni utamaduni wa kuwatukuza wanaume. Haiwezekani ule mkutano walikuwepo wanaume elfu 5 na hakukuwa na wanawake au watoto. Lazima walikuwepo ila walioripotiwa ni wanaume tu
 
Jibu lake ni kwamba walikuwa wanazaliwa mapacha mme na mke na huyo mwanamke ndio mke wako mpaka watu walipo ongezeka sana ndio huo utalatibu ukakoma
 
Adam na Eva waliiwahi kuzaa watoto wa kike pia, ila hawakutajwa kwenye Biblia na mmoja wao ndiyo huyu aliyekuja kuolewa na Kaini. Walikuwa wanaruhusiwa kuoana mtu na dada yake
Mr speculator kwanini wasitajwe wakati biblia ina utaratibu wa kutaja watu wote wa nyumbani mwa mtu.
 
Kuna Mhubiri mmoja wa Injili alinichanganya kabisa,alisema kuwa Kaini alimuua ndugu yake kwa shoka dogo lililotengezwa Misri..Nikajiuliza hivi Misri wakati huo kulikuwa na wanadamu
 
Mr speculator kwanini wasitajwe wakati biblia ina utaratibu wa kutaja watu wote wa nyumbani mwa mtu.
MR dismiss; sijui ila evidence zilizopo kwenye Biblia, zinaonyesha hivyo. Sababu za kwa nini hawakutajwa, ndiyo zile ambazo sizijui. Wewe unazijua?
 
MR dismiss; sijui ila evidence zilizopo kwenye Biblia, zinaonyesha hivyo. Sababu za kwa nini hawakutajwa, ndiyo zile ambazo sizijui. Wewe unazijua?
Jina gani hilo umeniita jamaa yangu nimebubujikwa na machozi kwa huzuni
 
Jina gani hilo umeniita jamaa yangu nimebubujikwa na machozi kwa huzuni
Una shida kichwani, ulitakiwa ufurahi sana, tena sana.
Tuseme kwa mfano mimi kama ni mwerevu ukiniita mwerevu, nafurahi au kama ni mjinga, ukiniita mjinga nafurahi pia EXCEPT, ukiniita mwerevu wakati najijua kuwa ni mjinga, au ukniitia mjinga wakati najijua kuwa ni mwerevu, lazima nitasikitika sana
 
Kende zako
 
Watoto wakike hawakuwa wakihesabiwa
 
hahaa,

mimi nilitumia saivi naamini hakuna mungu😂

we haya
Ni bora uamini Mungu yupo then ukienda mbele za haki ukute hakuna Mungu, kuliko uamini Hakuna Mungu halafu siku ya siku umkute 😂, Kibano chake haitokuwa na mfano.
 
Kiuhalisia bibilia ime focus zaidi na ukoo wa Yesu yaan chimbuko lake kianzia wakwanza na kuendelea kwa hyo haimaanishi kwamba hakukua na watu wengine ila focus ni chimbuko la mwana wa Adam
 
Kiuhalisia bibilia ime focus zaidi na ukoo wa Yesu yaan chimbuko lake kianzia wakwanza na kuendelea kwa hyo haimaanishi kwamba hakukua na watu wengine ila focus ni chimbuko la mwana wa Adam
Mmmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…