Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Leo hii watu wanaenda mwezini mbona hawamfikii huyu Mungu...sembuse ghorofa... afu eti lugha. Burj khalifa imejengwa na watu wa mataifa na lugha tofauti na limesimama...😂yaani genesis nzima ni kama animation tu
Kusadikika mkuu ukihoji utasikia kiburi ni hiyo pumzi uliyo nayo mara kwa vile una afya na blabla nyingi za vitisho.
 
Kutoka misri mpka Israel ni km 623, ila musa na genge lake walitembea miaka 40, wastani wa km 15 kwa mwaka ,sawa na km 125 kwa mwezi, saw na mita 42 kwa siku sawa na uwanja wa mpira wa miguu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Asee ifike mahala hizi stori tuache kuziamini mzeeee
 
Mambo mengi duniani ni pasua kichwa kama suala la kuku na yai nani alitangulia
 
Wewe kutokumjua mtengenezaji wa Mungu haimaanishi kwamba Mungu hayupo.Inawezekana hatujui kwasababu ya ukomo wa uwezo wetu wakufikiri.Kama huwezi kujua ukisha kufa unakuaje basi jua upeo wako una kikomo.Tunajua kifo kipo kwasababu tunaona vitendo vyake je baada ya kufa inakuaje ilo hatujui,hali kadhalika kwa Mungu ni hivyo tunaamini yupo kwasababu ya vitendo ila zaidi ya hapo kuhusu yeye tuko gizani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjadala kwa wasiofikiri ndo unakuwepo,huwezi kwenda mfugale interchange,ukute site za kupitia na taa za kuingozea magari halafu useme mfugale imetokea tu hakuna aliyeiplan na kuijenga
😂😂😂Hii argument ya kitoto sana
1. Kuna wajenzi tunawaona kila siku
2. Mungu kajengwa na nani?
3. Hata Kama Kuna Mungu au muumba, unajuaje ni wa dini yako?
 
Kuzaana hakukuletwa na waeneza dini.

Ipo hivi watoto wa Adam walipozaana waliongezeka na kuenea kila pahali wengine walikuja hadi koromije na Gamboshi wapo huko mpaka leo.
Kwa imani lakini
 
😂😂😂Hii argument ya kitoto sana
1. Kuna wajenzi tunawaona kila siku
2. Mungu kajengwa na nani?
3. Hata Kama Kuna Mungu au muumba, unajuaje ni wa dini yako?
Kumbe wa dini ipi!?..maana kwa mfano Mungu wa wakiristo yesu,ambaye alimlilia Mungu wake msalabani,na ambaye kwa baba yake atakunywa Tena mvinyo,so huyo kwangu Mimi ni mtu tu si Mungu muumba
 
Mwanzo 5:4-5. Siku Za Adamu Baada Ya Kumzaa Sethi Zilikuwa Miaka Mia Nane, Akazaa Wana, WAUME NA WAKE..................
😂Hivi mpo serious mnaamini watu waliishi miaka 800... sometimes tumieni akili...dating system Yao unaijua? Kumbuka system yetu ya calender ni recent tu so unajuaje aliishi mda gani?
 
Kutoka misri mpka Israel ni km 623, ila musa na genge lake walitembea miaka 40, wastani wa km 15 kwa mwaka ,sawa na km 125 kwa mwezi, saw na mita 42 kwa siku sawa na uwanja wa mpira wa miguu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Walikua hawatembei msafara moja kwa moja kama unavyofikiri.Ungekua una nia yakuelewa ungepata majibu ila kwavike nia yako nikuonyesha makosa inakua haina haja yakukuelimisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adam na Eva hawakuzaa watoto wawili tu, walizaa watoto wengi wakiwemo watoto wa kike. Kilichofanyika Cain alimuoa dada yake wakaendeleza ukoo mpaka sasa.
Kwa hiyo mpaka sasa tunaoana kaka na dada
 
Kweli, Biblia haikuongelea sana watoto wa kike
 
Acha kuwaza hayo mambo maana hayaleti ugali mezani, cha msingi amini imani yako,muabudu muumba wako basi inatosha.
 
😂😂 Usisahau kuuliza na familia ya Noah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…