Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Hizi ni stori kama stori za Abunuwasi
Sawa hivi peponi Allah atatoa mabikra 72 wa kufanya nao ngono?
Je, wanawake wanaokufa kwenye uislamu, akhera watapewa nini?
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Adam na Eva waliiwahi kuzaa watoto wa kike pia, ila hawakutajwa kwenye Biblia na mmoja wao ndiyo huyu aliyekuja kuolewa na Kaini. Walikuwa wanaruhusiwa kuoana mtu na dada yake
Ikiwa hawakutajwa kwenye Biblia wewe umepata wapi hizo taarifa kuwa walikuwa na watoto wa kike?
 
hii itazua taharuki

ila nakumbuka mwalimu wangu wa bible knowledge kasomea theology alikua anatuambia kuna nadharia kwamba adam na hawa walikua na watoto wengine wa kike, lakini tamaduni za kipindi kile watoto wa kike walikua hawahesabiwi ndo maana hawajazungumziwa....

hata mtoto wa yakobo, dinah hakuzungumziwa sana kama mnakumbuka na wala hawakusema kama alipewa ardhi kule kwenye nchi ya ahadi

kiufupi bibilia ya agano la kale inakandamiza sana wanawake

lakini uhalisia ni kwamba kuanzia mwanzo 1-11 ni hadithi za kutungwa, sema hii itakua ngumu kwa wanaoamini kuelewa
Sawa. Hivi Allah naye atatoa mabikra 72 au atakuwa ametuingiza mkenge?
Wanawake wanaokufa kwenye Uislam nao watapewa nini Allah?
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Kabsa Mkuu na dunia nzima ni sisi peke yetu hatuna taratibu zetu na mila zetu.
Lazima tuyumbishwe maana tunapenda mtelezo leo hakukua na haja ya kuwa na makanisa misikiti inatupigia kelele tu wakati tulikua tunaabudu kwenye misitu nanilitubariki mpka wazungu wakaona tuna mali wakaja kuzichota.
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Kuielewa Biblia unahitaji Muasisi wake: Roho Mtakatifu. Bila Roho Mtakatifu, utaisoma Biblia kama gazeti.
 
Wewe ni maamuna ni empty kabisa kichwani mwako. Ungekuwa mwanangu nisingekupeleka shule. Ungekuwa unachunga ng'ombe tu. Yaani hujui ili kitu kiwe na mwanzo ni lazima kiwe na time limit mkuu? Hivi wanasayansi wanaposema umri wa dunia miaka....... wana maana gani kama sio kina limit ya muda? Nimekudharau dogo.
Kuna mwanasayansi yeyote aliye sema na kuthibitisha umri wa dunia ni upi?

Au ni makadirio yao tu?

Wewe una pachika hoja zako ambazo hata si za kisayansi.

Dunia haina umri wowote.
 
Sawa. Hivi Allah naye atatoa mabikra 72 au atakuwa ametuingiza mkenge?
Wanawake wanaokufa kwenye Uislam nao watapewa nini Allah?
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
dini zina changamoto mkuu kwa kweli
 
Ila una mwanzo na dunia ina mwanzo kwani una "time limit" mkuu? Je umetokea wapi kabla ya usiku ule wa tendo la Baba na Mama yako? Je nini kilisababisha manii ya mshua wako zikuzae wewe na kama sayansi inasema mwanaume anatoa millions of Mbegu? Kwanini mbegu iliyokubeba wewe ikafertilize yai la mama yako na sio hizo mbegu nyingine za Baba yako?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Eleza mwanzo wa dunia ni upi?

Na uthibitishe.

Kabla ya usiku wa tendo la baba yangu na mama yangu sikuwepo mahali popote pale.

Manii(shahawa) sio mtu.
 
Lazima tuyumbishwe maana tunapenda mtelezo leo hakukua na haja ya kuwa na makanisa misikiti inatupigia kelele tu wakati tulikua tunaabudu kwenye misitu nanilitubariki mpka wazungu wakaona tuna mali wakaja kuzichota.
Kabisa mkuu , bdo kidogo kuna vitu najifunza nitakuja wapiga hawa mazuzu pesa kupitia dini mpaka washangae.
 
Usiruke ruke twende taratibu dogo. Unaelewa nini maana ya uso wa Mungu? Ungekuwa hujui maana ya Mungu asingeandika kuhusu yeye.
Wewe juha nini?

Hujatoa definition yoyote una bwabwaja bwabwaja tu.

Naku uliza hivi [emoji116]

Uso ni nini?

Mungu ni nini.

Jibu maswali hayo acha viroja.
 
Hiyo kila kitu lazima kiwe na muumbaji wake amekitoa wapi? Angesema labla kila kitu kina chanzo chake ila kuna ambaye hana chanzo wala mwisho kwani chanzo na mwisho kimekuwa limited na "time and space" lakini yeye hana limit ya time na space mkuu.
Na kwanini yeye ndio awe hana limit ya time and space na si kitu kingine mkuu, na umejuaje na umethibitishaje kwamba ni yeye tu, na si kitu kingine chochote
 
Roho mtakatifu pia na fiction tu au unaongelea stimu za bangi mkuu
Roho Mtakatifu yupo, mkuu. Ndio Roho ya Designer wa Ulimwengu wote. Anajua kila kitu. Ni jukumu lako kumtafuta, kwenye dini hutampata maana wengi wanaishi maisha ambao yanamdidimiza yeye kuwepo. That Spirit is so holy.
 
Back
Top Bottom