Mungu ni zaidi ya biologist, engineer, mkemia yoyote duniani
Nikipokuwa nasoma Biology jinsi tumeumbwa na mifumo ya kuendeleza uhai ya binadamu nikaamini kweli Mungu yupo
Mpaka leo bado wanadamu wanajifunza mwili wa binadamu na hawajamaliza
Nikakubaliana na haya maneno ya Warumi 1:20
Warumi 1:20
Neno: Bibilia Takatifu
20 Tangu Mungu alipoumba ulimwengu, asili ya Mungu asiyeonekana kwa macho, yaani uwezo wake wa milele na Uungu wake, umedhihirika wazi wazi kutokana na vitu alivyoviumba. Kwa hiyo watu hawana kisingizio.