Kwanini hii nchi inatuchukia na kututesa sana Waafrika? Tuungane tuisusie

Sidhani kama inawezekana mtu kuwa mpumbavu zaidi yako hata kama mtu akiwekewa dau la mabilioni.
 
Sidhani kama inawezekana mtu kuwa mpumbavu zaidi yako hata kama mtu akiwekewa dau la mabilioni.

Hatujafundishwa kuchukia mtu, awe muislamu, asie muislamu, mweupe au mweusi, kwahiyo mimi sio mpumbavu nichukie mtu bila sababu, hata kama ametokea mtu akanikosea kwa chochote kile sitamchukia bali nitachukia matendo yake.

Bhujiku ng'waka!
 
Hatujafundishwa kuchukia mtu, awe muislamu, asie muislamu, mweupe au mweusi, kwahiyo mimi sio mpumbavu nichukie mtu bila sababu, hata kama ametokea mtu akanikosea kwa chochote kile sitamchukia bali nitachukia matendo yake.

Bhujiku ng'waka!
Sawa nkoi....ila jitambue wewe ni mpumbavu. Na dini yako ndio imekufanya uwe hivo.
 
Ndugu zangu pelekeni watoto shule, ona hii akili, heri Mungu anipe adhabu ya UFUKARA kuliko ya UJINGA, ujinga ni mzigo mzito mno.
 
Hahahaha!!!
 
Wapi imeandikwa "waarabu ni ndugu zetu katika imani" ? Naona unazunguka mbuyu na swali langu la pili ni lini uislamu ulikuwa ni dini ya ethnicity ?

Kingine keep in mind waarabu nao wapo wana dini nyenginezo mfano

Baháʼí , Druze, Alawites, Manichaeism, Bábism, Yazidism, Mandaeism, Yarsanism, Samaritanism, Shabakism, Ishikism, Ali-Illahism, Alevism, Yazdânism na Zoroastrianism .

Rudi ujibu swali upya .
 
Naona haujaelewa bado swali langu ni wapi imeandikwa " waarabu ni ndugu zetu katika imani?" Kama ipo weka ushahidi .

Jua unapoongelea waarabu unaongelea ethnicity na si dini jua kutofautisha kati ya hayo mawili ,kingine ni kwamba waarabu wana dini nyingi tu ukiondoa uislamu.

Kuna wakristo ,Baháʼí Faith, Druze, Alawites, Manichaeism, Bábism, Yazidism, Mandaeism, Yarsanism, Samaritanism, Shabakism, Ishikism, Ali-Illahism, Alevism, Yazdânism na Zoroastrianism .

Uje ujibu swali vizuri , swali la nyongeza pia ni lini uislamu ukawa ni ethnic based religion?
 
Kwani wamelazimishwa kwenda huko?

Wao wenyewe wanataka kufanyiwa hivyo ili wapate pesa wakija huku watambe.

Sio Waafrika tu hata kuna watu kutoka nchi maskini za Asia Kusini kama Sri Lanka wanafanyiwa ushenzi huohuo
So walipoenda waliambiwa wazi kuwa kazi mojawapo ni kumuomyosha mmbwa . Acha kutetea uovu ndugu otherwise wewe pia utakua ni muovu.
No wonder watu wenye fikra kama zenu ndo hufanya waafillrika kudharauliwa
 
Hamna
 
mimi ata kama ukinipa mshahara milioni 100 kwa mwezi sifanyi kazi huko,waarabu wameshushiwa uislam lakini makatili sana aisee!!!,wanachinja wa2 da,wakti wa utumwa walikuwa wakipasua matumba ya wanawake wa kiafrika wenye mimba na kuonyesha wake zao namna mtoto anavokaa tumboni,walikuwa wakipandisha waafrika minazi na kujifunza kulenga shabaha!!!ni shida juu ya shida
 
KAMA ILIVYO KWA ENZI ZA UTUMWA, WATU WEUSI WALIHUSIKA KWENDA KUPIGANA, KUKUSANYA MATEKA NA KUWAPELEKEA WAARABU. KWA SASA KUNA MAKAPUNI YANAKUSANYA WAFANYAKAZI HUKO NA HUKO KISHA KUWAPELEKA UARABUNI KWA AHADI ZA MAISHA MAZURI.

ADUI YUKO MIONGONI MWETU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…