Kwanini hii nchi inatuchukia na kututesa sana Waafrika? Tuungane tuisusie

hakunaga ujanja mbele ya njaa
 
Kwani Nani kawalazimisha mwende , Si mwende Vatican mkafanye kazi Kama Mnaona ni kuzuri au kanisa liwapeleke huko?
 
Naturally mtu hawezi kuwa mkaazi wa kisiwani bila kuwa na origin ya Bara,Kuna kipindi zenji hapakua na binaadam
Wakiishi nani? Na huko bara wakiishi nani?

Hivi kuna kabila lolote bara wanaongea kitumbatu au kimakunduchi au kikojani?
 
Nimekaa na kufanya biashara nchi za kiarabu karibu miaka 10 nawajuatabia zao nje ndan so Mi sio wa kuhadithiwa chief nakuelezea experience ya maisha yangu nchi za uarabun
Wazungu huko Europe wanawatimua warudi kwao wamewachoka,
 
Wakiishi nani? Na huko bara wakiishi nani?

Hivi kuna kabila lolote bara wanaongea kitumbatu au kimakunduchi au kikojani?
Lugha huzaliwa,hukua,hufa...Kama unaamini uwepo mungu,nabii Adam alikua akiongea lugha gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…