Mambo mageni sana haya, enzi zetu hayakuwepo
π π πUmejuaje ulishawahi kukamatwa na hukufukuzwa ukahamishwa?
Hiyo sheria ingekuwa inafuatwa kama ilivyo nna uhakika usingemaliza form 6.Wizara ya Elimu iliweka miongozo na sheria ktk shule zote nchini, Km bango linavyo someka hapo.
Hii sheria niliyoweka vidoti, mbona sijawahi ona ikifanyiwa kazi, hata pale inapoonekana wazi na uthibitisho usio na shaka, hasa hiyo Ushoga na Usagaji.
Mara nyingi suala linamalizwa kimya kimya, aidha muhusika/wahusika watahamishwa shule na sio kufukuzwa.
Kuna haja gani ya kuiweka hapo ikiwa haifanyi kazi?
KULIKONI?
View attachment 3555723
Hv kweli polisi na dcea wakiona haya mawazo kwa nini wasiendelee kuzuia bangi wakati huu mjani hauna shida?Kwenye hii shule ninayomiliki nimeshawafukuza wanafunzi mashoga watano hadi kufika mwaka huu.
Wasagaji huwa siwafukuzi kwa sababu sioni kama kusagana Kuna athari hasi.
Kwenye shule yangu nyeto inafundishwa kama somo muhimu kwani bila nyeto hakutakuwa na jamii imara (nyeto Ina faida kede wa kede).
Nasanzuka!
Ndio.Ni private school?
Upo?Ni private school?